Kulipia kiingilio?,umekuja na njia yakutafuta mtaji na sio kutoa mtaji.Mkuu vigezo vitakuwa ni kulipia kiingilio, ku quote uzi wa shindano unapotoa wazo. Kwa ufupi uzi washindano utakuwa full detailed na jinsi ya kulipia.
Majibu.1. mkuu unataka mawazo yawekwe humu kwenye uzi?
2. Ni vigezo gani vitakavyotumika kupima ubora wa wazo husika na wapimaji ni akina nani?
3. Mwanzo wa shindano ni lini na mwisho ni lini?
4. Unaposema utatoa zawadi kama mtaji wa kuwezesha wazo husika, je! haitajalisha kuwa wazo litahitaji mtaji wa kiasi gani? yaani hata kama wazo litahitaji milioni 100, haina shida?
Msaada tafadhali!
Hata mi nimemshtkukia wakubwa ..Mkuu unatafuta mtaji ukakamilishe project yako ya kutengeneza chaki.Utengenezaji wa chaki(my project)
Mkuu i have a lot of ideas projects, na huo tayari upo kwenye mpango kazi na siyo kutafuta mtaji hapa kama unavyodhani.Mkuu unatafuta mtaji ukakamilishe project yako ya kutengeneza chaki.Utengenezaji wa chaki(my project)