Title yahusika saana.
Nakumbuka utamaduni wa kukutana wana JF uliasisiwa DSM na jembe Geof au Teamo, week end ilikuwa ikifika MMU karibu wote walikuwa wanakutana na kutafuna mbavu za vitoweo tofauti!tofauti pamoja na ze valuer. Valuer ilipanda chat sana hapa jamvini ikisindikizwa na msamiati wa infidelity. Enzi hizo baana thread ilikuwa ikiangukiwa na hio team within 5 minutes iko page ya 10.
Nini kimetokea siku hizi au mwakutana under carpet wengine hatujui? Hongereni Arusha na Dodoma kwa ku keep it real....
By the way wapi Teamo tangu umehama nchi kutokana na matatizo ya umeme JF dsm is not the same again.

Bora uje huku HQ........mambo si kama zamani........kuna mapya mengi.......tueleze ni lini unakuja rasmi
Kweli umenena la maana sana.Title yahusika saana.Nakumbuka utamaduni wa kukutana wana JF uliasisiwa DSM na jembe Geof au Teamo, week end ilikuwa ikifika MMU karibu wote walikuwa wanakutana na kutafuna mbavu za vitoweo tofauti!tofauti pamoja na ze valuer. Valuer ilipanda chat sana hapa jamvini ikisindikizwa na msamiati wa infidelity. Enzi hizo baana thread ilikuwa ikiangukiwa na hio team within 5 minutes iko page ya 10.Nini kimetokea siku hizi au mwakutana under carpet wengine hatujui? Hongereni Arusha na Dodoma kwa ku keep it real....By the way wapi Teamo tangu umehama nchi kutokana na matatizo ya umeme JF dsm is not the same again.
Kila mtu anajipendelea...!Wengine wakikumbuka zamani wanapigwa madongo na baadhi ya watu wachache lakini hao watu wachache wakikumbuka zamani yao ni kama it's okay. I'm jut sayin'....
Hahahaaa!
Tumekwenda beyond keyboard long time mzazi ndo maana huoni mialiko kivile. Tupo stage nyingine.
Wana Arachuga, ni ruksa kupata update za vichwa vya dar and all that has happened tangu tulivyokuja kuwatembelea vijana wa Arachuga december last yr.
Ni kweli tumekuwa chini ya zulia kiaina, lakini ni kwa sababu maalumu.
Kwa update zaidi, pm mimi, teamo, gy, au mwanajamiione.
Onyo: Msimtafute Asprin, atakuwa amelewa hataweza kuwajibu, onyo hili litadumu kwa mwezi mmoja tu.
Me understand DON'T!! Fafanua umetumia lugha gongana
hahaha PJ bana mmekua mmeanza kiburi eh,,,, tatizo watu wa Arusha mkija dar mnakuja kimyakimya kama mnadaiwa vile; sie bado tupo pale pale jj pa ukwe'eeWanahitaji semina ELEKEZI toka JF-HQ-Arusha!TShida ni kwamba kipindi hicho walikurupuka, na matokeo yake ndo hayo!
Hahahaaaa beyond keyboard na kusengenyana behind each other's backs. Ptuuuuuuuuuuuu
What's up toddler, how you doing?Wengine wakikumbuka zamani wanapigwa madongo na baadhi ya watu wachache lakini hao watu wachache wakikumbuka zamani yao ni kama it's okay. I'm jut sayin'....
You need to hit the door, search for a new guyKila mtu anajipendelea...!