Tangu ujiunge JF ni reply ipi unadhani iliyo isoma hapa ilikuwa nzuri au bora kwako? lets share hapa tufurahie wote kwa pamoja. Mimi na naanza na ya kwangu.
MTOA UZI 😛 Parapanda : Wana JF; mwenye email au namba ya simu ya Afisa Usalama wa Taifa yeyote naomba anitumie sasa hivi sasa hivi hapa.
Binafsi hakuna watu waliokuwa wananivunja mbavu humu kama majibizano ya Malaria Sugu na Masanilo ......kiukweli nilikuwa nacheka hadi naonekana kichaa kabisa.....ningekuwa nimetulia ningetafuta baadhi ya majibizano yao enzi hizo......