Asante. Ila kinondoni kubwa...
Hongera. Nilidhani unatukaribisha za promo (bure) mamemba? Joking. Hongera.
Hongera lkn Kinondoni ipi?
Jiongeze weka picha... Nyama choma, pizza, juice utapata Wateja wengi zaidi hlf member wa Jf utamtambuaje ili umpe hiyo ofa maalum
Vipi Kuna Kitimoto? samahani kwa wasiotunia.
Sheikhe,kumbe unachuuza Yale maji yenye
Jina la kati la mgombea urais wa chama tawala?
Maustadhi utawakosa ujue.
Tupiamo picha kiongozi,utatupata sana.
hapa maeneo ya biafra