JF App

ommy15

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
675
Reaction score
1,032
Habari, naomba msaada JF app yangu nikitumia kidogo inakuwa nzito sana kiasi kwamba lazima ni clear cache na kuclear data ndio naweza kulog in tena.
Msaada nifanye nn au tatizo ni simu View attachment 1185408
 
Mimi kwangu sipati notifications kabisa pamoja na kui-set ipasavyo...nimeamua ifuta tu
 
Tumia Tapatalk app,notifications zangu nazipata kupitia Tapatalk but kuingia JF natumia app yake.
 
Nadhani sasa ni muda muafaka wa JF kufanya marekebisho ili App ilete notifications km zamani.

Tunashindwa kumaliza tongozo zetu kwa wakati maana hujui kama mtu kajibu pm mpk uanze kufungua uangalie
 
Tumia Tapatalk app,notifications zangu nazipata kupitia Tapatalk but kuingia JF natumia app yake.
Kwangu naona Tapatalk inaleta notifications nyingi sana mpk ambazo sizihitaji...ama kuna sehemu nimekosea kui-set?
 
Ingia Tapatalk kisha settings angalia vitu ulivyoruhusu notification usivyotaka viweke off.wakati mwengine unaweza kuwa umeruhusu notification hata mtu akiazisha uzi mpya au ku-comment kwenye uzi ulio-subscribe.
 
Ndio hicho kinanichotokea..
Shukrani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…