JF App for IOS

JF App for IOS

Khalidoun

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
2,846
Reaction score
4,489
Habari Wakuu,

Ni kama wiki mbili sasa JF app katika IOS imekuwa ina crash. Nikii delete app na ku install upya bado tatizo linaendelea. any clue jinsi gani naweza ku solve hili tatizo. au mpaka jamaa watoe update mpya?

Shukran
 
Nadhani update ilishatoka, since I updated(29th January) to the new version I've only had one crash but it didn't ask me to submit crash report. So I guess you should keep checking for the latest version, or maybe the latest version doesn't work well for you.

A couple of tips though, ukiweka model ya iOS device yako na iOS version unayorun itawasaidia zaidi developers kujua namna ya kukusaidia.

cc: Invisible
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Mkuu kwa jawabu, ni IoS 7, MD297SO/A. so far it seems the problem has been resolved coz i can browse through without crashing.
 
Back
Top Bottom