Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Aisee huyo jamaa wa msalani sijui laptop ikikwapuliwa ataanzaje kumfukuza mwizi wake....
Hahahahahhahaaaaa huyo alieko Chooni namfahamu, ni member mmoja tunaye sana tu hapa jukwaani
huyu wa manzo anachat kwenye JF doctor ila huyu wa pili itabidi utusaidie wewe mtoa mada sijui yuko kwenye jukwaa gani
mwaka wako huu kesho nakuweka notice boardHahahahaaaaaaaaahaha.
Umechokoza nyuki nakwambia utajutraaa hahaha dah!!! Nsingizie tu !!!
Hahahahaaaaaaaaahaha.
Umechokoza nyuki nakwambia utajutraaa hahaha dah!!! Nsingizie tu !!!
mwaka wako huu kesho nakuweka notice board
Mi' simoo, msiniite kabisa kwenye ushahidi...
Hahaha ole wako nakwambia ntakuingilia hukohuko kwenye kibodi yako!!!
Kaniletea miss neddy...
Kaniletea miss neddy...
hahahaha uje huku tena nikulishe keki yako
Hahaha tena nnavyopenda keki niwekee na soda kabisa nshushie!!!!