Jf addict

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
 
mkuu utafiti nisaidie mambo ya technologia mm mshambamshamba hiyo BAN ni kitu gani? kuna mahala nimeona tena hili neno humu..

BAN ni kupigwa marufuku au kuzuiwa kufanya kitu flani, kwamfano hapa jf kuna sheria na kanuni zake, mfano member ametoa lugha za matusi au maneno machafu kwa member mwengine, mods humpiga BAN huyo muhusika (sijui inakua miezi au mda gani) akimaliza adhabu ndio anaruhusiwa tena kuingia jf
 

okay okay asante sana ndugu kumbeee..
duu basi kuanzia leo nitaacha kabisaa jazba na maneno mabayamabaya hata nikitukanwa.vip ntavumilia tuu maana Kupata hiyo BAN sio mchezo..asante.san nimeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…