Jezi mpya za Simba Sports Club 'Wekundu wa Msimbazi'

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Mchezaji Mohamed Hussein 'Tshabalala' pichani akiwa ametinga Uzi mpya wa Klabu ya Simba SC, ambao wako Nakuru, Kenya.
IMG_20180602_120017_377.jpg
 
Mi msimbazi damdam Ila huo Uzi wamezingua utadhani Arsenal ya enzi za akina Yossi benayun bhana.
 
Jamani tulieni kwanza tuko wedi kapu , tunafuatilia uzinduzi jezi uko, nyie Wa mchina msiwe na haraka.
 
Jezi hizi maalum kwa mashindano ya sportpesa super cup, sidhani kama zitavaliwa VPL msimu ujao
 
Back
Top Bottom