Jews 1943 VS Jews 2015

Ila Germany ni hatari wazee mimi naona wangepambana bila kuwa na allies yaani nchi moja tu ipambane na nchi nyingine mfano Germany against U.S sidhani kama U.S angekuwa Superpower saa hii.
 
Shalom Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
Shalom aleichem
 
Hao ni waturuki waliongokea uyahudi. Hawana unasaba wowote na Yakubu. Na ndio wanaotusumbua na ukatili wao zama hizi.
 
Ndio binadamu alivyo na haitokuja siku abadilike, ukiwa msomi wa historia yaani hii picha ni cha mtoto, kuna matukio yalitendeka na yanaendelea kutendeka, maovu ya ajabu ajabu.
 
Wezi tu hao, nawapa pole na kutokukubali kuuwawa kivile na NAZI, ila jamaa wezi sana sana sana...
 
Ila Germany ni hatari wazee mimi naona wangepambana bila kuwa na allies yaani nchi moja tu ipambane na nchi nyingine mfano Germany against U.S sidhani kama U.S angekuwa Superpower saa hii.
Tatizo area of battle ingekuwa wap , kiuhalisia no possibility ya battle kat ya German na USA ingetokea ,mana hata makoloni yao yalikuwa far away , unless Germany kama angeamua kutanua Pacific kitu ambacho Japan alikuwa anakifanya , na Japan alikuwa mshirika wa Germany na ndicho kilicholeta battle crash kat ya USA na Japan , .... Intervention ya USA against Germany totally ilikuwa to help England and to cutoff Germany supply for Japan....
 
Shalom Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
Hivi maana ya tamko "Shalom" ni nini na ni lugha gani hii ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ