Jewish owned banks

kuna zile bond ambazo benki kuu katika nchi mbalimbali huuza,inawezekana israel huzinunua kwa wingi mkubwa,hivyo kujikuta kisheria benki kuu ya nchi si yao,ila kwa jinsi wanavyoidai,de facto,ni kama yao
 

Hujakomaa!
 
Effectively, benki zote duniani zinamilikiwa na Wayahudi isipokuwa benki za Iran. Sasa unaweza kujua kwa nini Iran imewekewa uadui mkubwa. Si kwa sababu ya kusapoti ujahili kama baadhi ya naïve people wanavyorudia rudia. Saudia inasapoti zaidi ujahili kuliko taifa lolote na ndiye rafiki mkuu wa USA+ the West. Fungua macho!
 
Mkuu watu like you me sina shida nao sana katika Maisha hivyo Amini au Usiamini is up to you.... kama huamini Internet basi huamini pia watu unaochat nao kama ni real human pia... yaelekea unachukulia kila kitu kishabiki na sio reality... Elimu humfikia mtu akiamini itamsaidia na kama haoni umuhimu wowote anaachana nayo... huitaji ku avange just ignore tu watakao amini watachunguza wao na wasio amini poa.
 
Pia Kumbuka Gaddafi nae ni Myahudi tu sababu Mama yake alikuwa Myahudi so alikuwa na haki ya kupokelewa Israel kama angeamua kwenda maana haki ya Right to return vigezo alikuwa navyo.... alipewa offer nyingi za kuishi nchi yeyote yeye familia yake na mali zake aondoke kwa Amani ili nchi isitumbukie kwenye vita yaani aachie power Transition ifanyike vizuri akasema Nimezaliwa Libya na Nitafia Libya Siachii Madaraka....just like Saddam Hussein. Ndio Maana kiania simkubali vizuri Gaddafi kwa Hilo tu la Kukataa Offer maana kama Mimi ningesepa Fasta... Venezuela walikubali kumpa Hifadhi akadinda mbaya..
 
Ndo uzalendo huo mkuu. Mimi napenda watu wa namna hiyo.
 
Kuna ukweli ndanimo mwa mtoa post.Wakubisha na abishe ukweli ndo tuanze sasa kufuatilia ndugu.
 
ndo mijitu ilivo mkuu inajikuta inajua halafu haiweki habari za kweli kuuweka ukweli wenyewe. naichukia sana.
Unajua maana ya nchi kuwa na central Bank na vigezo vyake au mnaaka na kudanganya tu hiyo Israel mnayohisifia kutwa kucha ni bure
Mimi sitaki unipende ninaposema sio kweli iangaishe akili yako kwanini fulani kapinga?
 

Unataka niamini wakati hoja haina ushahidi unaoeleweka?

Weka uthibitisho kuwa BoT inamilikiwa na wayahudi.
 
Unajua maana ya nchi kuwa na central Bank na vigezo vyake au mnaaka na kudanganya tu hiyo Israel mnayohisifia kutwa kucha ni bure
Mimi sitaki unipende ninaposema sio kweli iangaishe akili yako kwanini fulani kapinga?
Ndo ulete hoja zako za kweli tuzidadavue basi.
 
Na BOT hiyo siyo kweli, BOT inamilikiwa na serikali ya jamuhuri muungano wa Tanzania
Ukishadaiwa na IMF jua ya kuwa unamilikiwa na Jews! Rothschild. That's why waona wanamiliki zote hizo coz wanawadai. Na ndio wanachotaka nchi zote duniani ziwe na Deni IMF
 
Siwaona SRYIA haipo hapo coz sryia hawana dehi huko hawadaiwi na IMF that's why wanaivuruga hiyo now ili uchumi ukae hvyo then wakope IMF so automatically unakuwa owned na Jews
 
Naelea sasa maneno ambayo the China man was whispering into my ears,kwamba it is only Israel which can start ww3. They have got the crystal. If they scratch it,they can cause financial collapse.
Yes na wao ndio watakaoangusha dola wakiamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…