Jewish owned banks

Wachafu sana hawa.
 
Thubutu!
Na hao matajiri wayahudi bila kujipendekeza kutoa mabilions kwenye chaguzi na serikali wangemalizwa
Mkuu sidhani mmarekani ni mtu ambae anapenda kuwekamaslahi yake mbele kwanza na usalama hawawezi hivi hivi kuwa controlled by minority tena kikundi cha watu wasiozidi million moja.

Hawa wayahudi wana janja sana ndo maana hitler aliwaambia wasipogundua kitu anawamaliza.
Na iwapo watawekewa vikwazo mkuu nakuhakikishia usalama wa marekani utakua mashakani maana wengi wao ni spies na mtu akishakufahamu vyema basi kukuadhibu ni jambo dogon sana.

Ile vita ya israel vs arabian countries unazani walishinda hivi hivi? mtafute mtu anaeitwa elli cohen urudi tena hapa.

Huwezi kuringa umevaa suti wakati uchi wako ushaonekana.
 
Dini ya wayahudi imekataza Riba wao kwa wao, lakini imeruhusu riba kwa wasiokuwa wayahudi!. Na hapa ndipo walipoweza kupiga hela ndefu kutoka kwa watu wa " mataifa"
 
Na BOT hiyo siyo kweli, BOT inamilikiwa na serikali ya jamuhuri muungano wa Tanzania
Mkuu Ukisikia Central Bank hata iwepo nchi gani ujue ushaliwa kama vile ukiona manyoya... Kila kitu kinaendeshwa na wao kama sasa hivi wametaka pesa zijae kule na ndio kilichofanyika... wao ndio wanatambua how to control Money na ndio always wanakuwa na mipango bora ila ukileta zako ujue umekwisha... Mwanzo mkulu hakuielewa vizuri akavamia akasema sema hovyo mwishowe akaambiwa hii si mali ya Serikali akatulia tuli na alipoenda tena kufika mlangoni akawa anacheka cheka tu... Hao ndio wanapandisha thamani ya pesa na ndio wanaoshusha... so hawaihitaji miguvu yaani fata tu wanaweka uchumi swafi.... yaani hata pesa zetu zikiisha wao wanajaza anytime ndio maana Jeuri ya Mkuu kusema Pesa zipo tu... yaani ukiwahakikishia no disturbance mambo yako yananyooka na ndio tutakavyo why tuwe kama Zimbabwe... IFM ni ya myahudi pia Moyor Rothschild Baba wa Pesa na Mipango...
 
Siamini kwani nimesoma baadhi ya mabenki wala hazimilikiwi na Jews

Ungesema wanamiliki baadhi labda lakini kuorodhesha dunia nzima mmh I doubt.

Kweli wanamiliki biashara nyingi duniani na wana share katika mashirika makubwa.
Mkuu Bank ni Empire ya Mayor Rothschild... Huyo alikuwa na ndoto ya kumiliki mali zote Duniani alizozikataa Yesu alipojaribiwa yeye ndio alijitoa mhanga akakubali kupokea na ndio family tree yake inatawala Dunia kwa Mali Ukisikia Sijui makampuni makubwa na madogo yote anamikono yake ndani ukisikia kuna Scholaship basi huto yeye kwa ajili uje ufanye kazi zake iwe viwandani au uogozi au uraisi kwnye nchi husika, Ndio maana maraisi hawaokotwi okotwi huandaliwa na tume zao maalum... So Ukiona Gesi madini zinachimbwa kwa mikataba ya ajabu ndio malipo yao hayo ya kukosomesha au kukuweka madarakani na ukienda kinyume lazima wakuue na kumuweka mwingine... haa mambo ya Siasa huwa ni Usanii tu.... Kuna wengine huiga tu mwishowe hufa njaa...

Irani na Sudan ndio zimegoma ila Iran keshalegea bado Sudan ambaye ni mdhaifu tu anaminywa sana hadi kieleweke na kwa kumgandamiza wakamtenanisha... Ukisikia kuna vita basi hawa jamaa kina Rothschild huusika moja kwa moja na hufadhiri both side za wapiganao... kama mampromota vile Silaha watakupa pesa watakupa lakini lazima uzilipe tu... au ufe na atakae kuja atalpa tu hivyo hakuna pa kuwakwepa... Rothschild alianzia kuonja utamu kwa Ufalme wa Ufaransa miaka hiyo ya kale akasogea hadi uingereza na kuenea Dunia nzima
 
Mkuu Mugabe alitofautiana na hawa jamaa tena?
 
Moise Katumbi pia amesahaulika wa Kule Congo ya TP Mazembe Japo Kabila kamkimbiza
 
Mkuu Mugabe alitofautiana na hawa jamaa tena?
Hao Jamaa wapo kila kona ya Dunia... Ukikosana na IMF ujue ni wao World Bank ni wao n.k n.k

Mugabe alichokosea Wale wakulima wazungu wa Zimbabwe karibu wote walikuwa ni Jews so walikuwa ni mamilionea gere ikawaudhi so Jews yeyote ana uraia wa Israel kwenye sheria ya Right to return iliwapain Sana
 
Nampenda Mugabe kwa sababu hayumbishwi na ni mzalendo halisi. Kuna habari alitoa ya kumsifunyerere kuwa ndo Rais bora wa Africa kwa sababu alikua anasaidia nchi kibao kupata uhuru wao kijeshi na wapigania uhuru kuwahifashi hapa.
R.I.P Nyerere.
 
Nampenda Mugabe kwa sababu hayumbishwi na ni mzalendo halisi. Kuna habari alitoa ya kumsifunyerere kuwa ndo Rais bora wa Africa kwa sababu alikua anasaidia nchi kibao kupata uhuru wao kijeshi na wapigania uhuru kuwahifashi hapa.
R.I.P Nyerere.
Yah unaweza kumpenda kwa maneno hayo tu ila utendaji wake wanaoujua ni wazimbabwe ambao wamemchoka haswa.. anaendesha nchi kifamilia like a king.... alichokifanyia Zimbabwe kwa upande wangu naona ni kibaya sana... Hao wakulima alpowanyang'anya Mashamba na kuwapa wazawa Njaa ikaingia Zimbabwe kwa mara ya Kwanza... wajamaa kumbe wavivu wakalima viheka vichache...Mugabe alitakiwa awawezeshe pia yeye akawaacha tu ili apate kura... Zimbabwe haikuwahi kuwa na Njaa tokea Uhuru, sasa kuna njaa hadi Viwanda vya kusagisha nafaka Bakhresa kavinunua kiubwetele. Tizama Sasa Magu anachukua Mashamba makubwa anataka awape Matajiri wenye uwezo so kuna utofauti hapo sana Government kazi yake ni kusaidia Wananchi na sio kuwaharibia
 
Huo ni uongo, unaleta mada za vijiweni humu.
 
Na BOT hiyo siyo kweli, BOT inamilikiwa na serikali ya jamuhuri muungano wa Tanzania
utawaweza hawa,ni watu wanapenda kujifagilia sana wakati hamna kitu,
walijifagiliaga eti king soloman alikuwa mfalme mkuu,mwenye himaya kubwa,hekima kubwa kuliko mtu yeyote,kumbe zilikuwa kamba tu,ufalme wake kwa ukubwa haukuzidi ukubwa wa kigamboni,wala hakuwa na influence yeyote,
hao mabilionea wa marekani,ila kwasababu ya kiimani wanajipachika uyahudi,eti nao wawe sehemu ya wateule wa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…