NdegeMwema
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 250
- 200
Kwa mtazamo wangu Jew hajajibu maswali ipasavyo kaonesha dharau kwa mweusi, majigambo na ujivuni. Swali LA kwanza LA interviewer lingejibiwa na swali LA tatu. Sasa yy kakurupuka na kuanza kumkejeli Black. Tabia hii ya Jew IPO kwa viongozi weng wa duniani hasa Africa; hawajibu maswali moja kwa moja wanakimbilia mihemuko badala ya kutoa hoja.
Maelezo ya Jew yana ukweli mkubwa. Ni vema tuchague viongozi wanaowajielewa!!
Maelezo ya Jew yana ukweli mkubwa. Ni vema tuchague viongozi wanaowajielewa!!