Jeuri ya Fedha ya Floyd Mayweather

Dah.... Na kuna watu wanalala njaa huko Sigimbi
 
Wazungu wanaita hiyo "what's what happens when you give money to monkeys", angekuwa mzungu hapo angeendeleza vitega uchumi na angekuwa na magari ya kawaida tu, tatizo ngozi nyeusi inapenda kujionyesha. magari yote hayo ya nini na hela yake amesaidia nini katika hii dunia hata akifa kesho, watu wangapi wanalala njaaa?

African americans ni mambulula kuliko watu weusi wote, kwa wale walioishi america mtakubaliana nami katika hili yaani akili zao ni za ajabu no wonder wazungu wanawabagua. Hawana maana ati.

Kwa kufuru hiyo tu kuna african americans zaidi ya asilimi hamsini marekani wanaishi maisha ya umasikini kuuza drugs na kuiba, wengine kazi yao ni kulala na vizungu wapate hela wengine kazi yao ni pony kichwani hamna kitu.
 
Hute

Kwa hiyo unataka kuniambia wewe una akili zaidi kuliko huyo jamaa? anajua anachokifanya acha mimi na wewe tuendelee kuwategemea akina tTundu Lissu.
 
Last edited by a moderator:

Unajion si kitu mbele ya wazungu, eeeh……? Kama mtu anajua jinsi ya kutengeneza pesa muheshimu sana.
Pesa wakati anazisika hukuwepo wakati anazitumia msimongie
 

Ebu toka hapa kwani kuna wazungu wangapi wana hela halafu hawasaidii wazungu wenzao??!!

Acha umbulula umeambiwa floyd hajawekeza au unakurupuka tu eti ela zingine awekeze !! umeshiba mihogo unakuja kuwatukana eti wamarekani weusi wana kufuru!! Eti magari yanamtosha!!!!!! Umekuwa nani kiasi cha kupangia mtu idadi ya magari anayopaswa kumiliki mpaka useme magari yanamtosha...
 

Nilichogundua we jamaa hauna Akili... Eti hela yake imesaidia nn katika dunia??? Hyo dunia huwaga inamsaidia akiwa ulingoni anakula ngumi za uso...??? Wacha ujinga wewe
 

hili jamaa ngombalo kabisa linamfananisha jamaa na baba yake
 
Yaani mwenzio apigane ngumi ulingoni, halafu wewe uje hapa umpangie matumizi ya jasho lake! Hebu acha hizo kiongozi!
 
Anastahili kupata kiasi hicho kwa shughuli anayoifanya...
 

mkuu una hasira lakini pesa katafuta kwa nguvu zake ana haki ya kutumia anavyotaka. Zile ngumi si mchezo ikikupata mpaka mate yanaruka mdomoni, kama kuna mtu analala njaa hiyo ni sehem ya maisha pia. Gari kama hizi si tutaishia kuziendesha kwenye GTA au Need for Speed
 
Duh! uzi umehama kwa muda! jf ukazungumza pumba watu utafikiri walikuwa wanakusubiri! dunia hii wenye shida ni wengi kuliko walio nazo na tunajuaje kama hawasaidii jamii yake? yaani mtu povu linamtoka kupanga matumizi ya mtu! ngumi haina kutegea kama michezo mingine sparling mtu mbili mwacheni ajipoze nawe ukipata panga namna ya kutumia.
 

mkuu jf noma ukileta upuuzi watu wanakupa za uso live..... Ona sasa jamaa kanywea kawa mdogoo,, anaogopa hata kucoment. Hahahaaaaaaa jf raha sana
 
Pamoja mgirik naona jamaa anaugulia maumivu.
 
mkuu jf noma ukileta upuuzi watu wanakupa za uso live..... Ona sasa jamaa kanywea kawa mdogoo,, anaogopa hata kucoment. Hahahaaaaaaa jf raha sana

Pamoja mgirik naona jamaa anaugulia maumivu.
wote wawili, siugulii maumivu, wala sijawaogopa. nimeamua kunyamaza manake nimeona nabishana na mazuzu ambayo hayana tofauti na huyo mpiga ngumi. katika maisha yako ulishawahi kuona mzungu amefanya kitu kama icho? jiulize hii ngozi nyeusi ina laana gani? ninyi nyote akili zenu ni kama za huyo ndio maana hamuoni tatizo hapo. ninyi ndio wale masela washamba wa hela akija kupata masaburi yenu yanawalia mbwimbweembwiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…