Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
Anatimiza ahadi mkuu maana aliahidi atarudiHa ha ha
sijui anarudije sahivi maana kipigo kile mmmh ningekuwa mimi sirudi..
Endelea kujifarijiNASA hao na blue beams technology
Kwa hyo hayo mawingu kuonekana angan ndo dalili ya kurudi kristo? Hata bibilia inaonekana usomi wwEndelea kujifariji
Hapo anawavutia speed tu any time ataibuka na hapo ndo utajua Kama ni mawingu au laKwa hyo hayo mawingu kuonekana angan ndo dalili ya kurudi kristo? Hata bibilia inaonekana usomi ww
