jeshini

godcopper

Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Jamani nauliza kama mtu ajapangwa jeshi alafu akaenda kambi yoyote watamrudisha au?
 
Bila shaka utakuwa kati ya waliomaliza kidato cha sita ambao hawajapangiwa kambi(mujibu wa sheria).
Kwa kipindi cha nyuma kulikuwa na awamu mbili tofaut kutokana na mda uliruhusu ila kwa sasa mda ni mchache hiyo ndo imetoka...kila mtu aliyepangiwa ana bajeti huko aendapo kama hujapangiwa huna bajeti.
Pumzika tu nyumbani haikupangwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…