Jeshi na Siasa za Nchi hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi na Siasa za Nchi hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngoshwe, Feb 2, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hawa ni miongoni tu mwa watendaji wakuu wa Jeshi ambao katika nyakati tofauti wamepata kushika nyadhifa za kisiasa...hata inapotokea mvutaono wenye sura ya Kisiasa kama ule wa Mhe. Waziri Mkuu na Madaktari, Jeshi nalo lipo tayari kuingilia kati kama iivyotokea hivi karibuni pale MHUMBILI..


  • Luteni Kanali J.M Kikwete
  • Capt. J. Chiligati
  • Capt.G. Mkuchika
  • Luteni Y. Makamba
  • Maj. Gen S. Kalembo
  • Kanali F. Massawe
  • Generali T. Kiweru
  • BRIG. GEN.E. Balele
  • Kanali Anatori Tarimo
  • BRIG. GEN.A . Ramadhani
  • Kanali Enos Mfuru
  • luteni Kanal John Mzurikwao
  • Kanali Issa Machibya
  • Kanali Joseph Simbakalia
  • Kanali Madaha
  • Kanali Issa Njiku
  • Kanali Ayub Kimbau
  • Kanali Elmon Mahawa
  • Kanali Samwel Ndomba
  • Luteni Kanali Serenge Mrengo
  • Luteni Kanali Benedict Kitenga
  • Kanali Edmund Mjengwa
  • Kapteni James Yamungu
  • Luteni Kanali John Mzurikwao
  • Kapteni Geoffrey Ngatuni
  • Kapteni Assary Msangi
  • Luteni Winfrid Ligubi
  • Kapteni John Barongo
  • Kapteni Malle
  • Kapteni Evans Balama
  • Kapteni Seif Mpembenwe
  • Kapteni Mwapinga
  • Luteni Abdallah Kihato
  • Luteni Chiku Gallawa
  • luteni Edward Ole Lenga
  • Kapten John Komba
  • Kapteni John Henjewele
  • Luteni Chiku Gallawa
  • Luteni Kanali Leopald Kalima
  • Kapteni Seif Mpembenwe
  • captain Jaka Mwambi
  • Comm. A. Rajabu
   
 2. s

  shangrila Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WERAWERA!!!! Mbona hamcomments sasa??? ndo maana kwa TZ hakuna kujiuzulu pale ambapo kiongozi ameharibu kazi....Kulingana na maadili ya Jeshi kipengele cha kugoma au kujiuzulu hakipo na ukilazimisha ni kifo cha risasi au kitanzi ,so wamewa ifluence viongozi wengine wa kiraia wa-adapt kipengele hicho,ila kuna wengine umewa-underate mfano,kwa Mjomba Ndomba hapo ni Major Jeneral sio Kanali tena!
   
 3. nanchi

  nanchi Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mfumo mbovu wa kulindana na wasiwasi wa kupinduliwa.
   
Loading...