lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,481
Angalizo napenda kuulizia na kuzungumzia muundo wa majeshi mengi au yote Duniani.Siulizii kwa jeshi la nchi moja tu.
Mara nyingi nchi nyingi zina jeshi moja lililogawanyika mara mbili au tatu.
je mgawanyiko huu ni lazima?
Jeshi la nchi kavu
jeshi la angani
jeshi la maji
je ni lazima kila nchi kuwa na mgawanyo huu?,vipi kwa nchi amabzo hazina bahari wala ziwa wala mito,ni lazima kuwa na jeshi la wanamaji?
je kama nchi ni kisiwa imezungukwa asilimia miamoja na maji ni lazima kua na jeshi la ardhini? au ni lazima kuwa na jeshi la angani?
je katika haya makundi matatu,yaani jeshi la ardhini,wanamaji na angan, jeshi lipi ni muhimu,ni bora na lazima kuwa nalo?kama nchi ikiamua kubaki na jeshi moja.