Jeshi limejipatia HESHIMA ya kiwango kikubwa sana

Jeshi limejipatia HESHIMA ya kiwango kikubwa sana

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
783
Reaction score
2,780
Kitendo cha jeshi kuwalinda waandamanaji kimelipatia jeshi heshima ya kiwango cha juu sana. Nina hakika, kitendo hiki kitawafanya Gen Z watamani hata kujiunga na jeshi letu. Hakika jeshi ni taasis ya kizalendo. Kongole makamanda wetu.

Leo hata nikiambiwa inatakiwa kodi % flani ya kuwalipa wanajeshi, akaah, yanini nisitoe mie?. Natoa 😀
 
Ndugu zangu Jwtz, kabla uharibifu haujawa mkubwa zaidi, chondechonde, lisaidieni taifa. Leo muliona mlivyo shangiliwa. Imani imebakia kwenu tu… njooni munyoshe mambo, vijana na wazee watulie na huyu mama atawashukuru Kwa kumtua mzigo wa uongozi uliomshinda.
Fanyeni haraka- njooni, nchi inatiwa kiberiti Kila sehemu kisa tu neno haki…
Njooni haraka - tokeni huko makambini muje mujidhihirishe kweli nyie Jeshi letu pendwa la wananchi - JWTZ…
 
Back
Top Bottom