View: https://x.com/wembi_steve/status/1887483008644530453Kama kuna mtu anakaa kwenye nyumba ambayo si yake;na si ya serikali
kama kuna mtu anatumia gari lisilo lake,tunamuomba alikabidhi.
Mpaka sasa, magari 14 yamesharudishwa mikononi mwa wenyewe. Jeshi letu ni la kitaalam, hatuwaibii watu.
Hivi jeshi la kenya liko wapi? Nilisikia nao walipeleka walinda amani. Tusisikie tena mtu ana tamba yeye ndie anaongoza kijeshi Afrika mashariki, wakati akisikia risasi, ana acha silaha zote na magari, mbio zinamwokoa