Jeshi letu linatumika vibaya

Jeshi letu linatumika vibaya

Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.

Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.

Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.

Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.

Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.

Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.

Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.

Tusitumie jeshi letu kisiasa.
Wakati wa amani ulikuwa unataka liwe linafanya nini?? Kumbuka kuwa hili ni Jeshi la Wananchi na ni sawa sawa kwake kutumikia wananchi hasa pale inapohitajika.
 
Unayetumika vibaya ni wewe either kwa kujua au kutojua,

Jeshi linatumika kubeba korosho tu, jambo ambalo ni la kawaida sana sasa sijui huu wasi wasi mnaotaka kuonesha kuwa upo unalenga nini hasa
Hao ni laymen, don’t waste your energy walahi
 
Wewe Hawajudukua account wa wamedukua akili

Sawa mbwiga
MBWIGA.jpg
 
Kwanza huyu mtu hakukagua magari wala nini alienda kuyaangalia tu yale magari maana yeye sio vehicle inspector kiasi kwamba ajue akague nini na nini kwenye hilo gari alitaka sifa tu maana hana uelewa wa kukagua magari wala nini
 
Una akili za kitoto
Kwanza huyu mtu hakukagua magari wala nini alienda kuyaangalia tu yale magari maana yeye sio vehicle inspector kiasi kwamba ajue akague nini na nini kwenye hilo gari alitaka sifa tu maana hana uelewa wa kukagua magari wala nini
 
Nawaona wamiliki wa malori walivyonuna,,,kwa wastan kinakua na malori 50+ kila msimu wa korosho kwa hapa Tandahimba
 
Fikiria bas hata kidogooo
we new member shika adabu yako,badala ya kumwambia mleta mada aliyekurupuka akidhani wanajeshi wote wanaenda kubeba korosho unakuja kuniletea ujinga?
Ulitaka watumike walimu kubeba korosho?
Ulitaka niandike maneno yanayokufurahisha?
Una uhakika sijafikiria au unaropoka tu?
Hivyo vimaneno vya "fikiria basi" uwe unawaambia vibinti unavyovitongoza au wanaokutongoza sio mimi Sir khan.
 
kwaiyo ulitaka kuona jwtz imevamia kenya au kuona jwtz wapo syria ndo uone linatumika vizuri?

kasome wajibu wa jeshi then urudi sawa jombaa
 
Back
Top Bottom