Jeshi letu linatumika vibaya

Jeshi letu linatumika vibaya

Kwa ninavyofahamu kulitumia jeshi kusafirisha mizigo au bidhaa ya serikali sio kosa ila ni moja ya majukumu ya jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ) kupitia Jeshi la kujenga Taifa (JKT).

ASANTE
asante kwa ufafanuzi mwongeze kidogo
kati.PNG
 
huyu hafahamu hata majuku ya Amiri Jeshi Mkuu yupo tu kishabiki tuView attachment 930518
Usitumie vibaya vifungu vya kisheria ili kuhalalisha upumbavu wa rais wetu... kwa hiyo kwakuwa na uwezo wa kuamuru majeshi basi ndio kila jambo..?? Kwahiyo hata akitaka agongewe mkewe sawa tu?? Tumia sheria ipasavyo... kwenye ulazima ndio unapaswa kutumia nguvu.. kuna hatari yoyote ya iliyotukabili inayopelekea kutumia majeshi yetu hapo??
 
Nilishangaa kusikia ile kauli kwamba kuna wafanya biashara kariakoo ambao wata chukuliwa hatua na JWTZ...
 
Ila kujenga ukuta Mererani kuzuwia Tanzanite isiibiwe ni sawa. Wala hatukusikia hata siku moja jeshi linatumika vibaya, sijui kwasababu kule ni Arusha?
Kwani Arusha kuna nini? Kwani Jiwe nj mmeru?
 
Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.

Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.

Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.

Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.

Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.

Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.

Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.

Tusitumie jeshi letu kisiasa.

Kama hafla ya kijeshi huko Arusha ilitumika kupokea madiwani waliohamia ccm ndio itakuwa kubeba korosho?
 
ha ha ha ha ha ha ha

Wakulima wa Mbaazi mmeanza Fitna

Nyie endeleeni kula Mbaazi mpate protin ya kwenye mimea

'Korosho kwanza Mengine baadae'- Hawa Ghasia

Na nyie Wakulima wa Sijui Nyanya Sijui Tikiti vuteni subira nyie tunatumia Magari ya Washawasha kuja kwenu

Mkuu ukitaka kujua wafanyabiashara wana fitina, usishangae ikasemekana korosho zetu zina sumu kuvu. Haya mambo hayahitaji nguvu.
 
Usitumie vibaya vifungu vya kisheria ili kuhalalisha upumbavu wa rais wetu... kwa hiyo kwakuwa na uwezo wa kuamuru majeshi basi ndio kila jambo..?? Kwahiyo hata akitaka agongewe mkewe sawa tu?? Tumia sheria ipasavyo... kwenye ulazima ndio unapaswa kutumia nguvu.. kuna hatari yoyote ya iliyotukabili inayopelekea kutumia majeshi yetu hapo??
Mbona mbolea ilipelekwa na jeshi kuna kipindi mahindi yalisafirishwa na jeshi kuna Madaraja mengi yamejengwa na jeshi
 
Kitakachotumika ni kitengo cha usafirishaji ambacho ni jukumu lake pia, JESHI NI MFUMO ULIOKAMILIKA, Madaktari, wajenzi n.k wote wapo, hujawahi ona jeshi lina hospitali?
 
wadau tusilaumu kila wakati hilo ni jukumu mojawapo la jeshi katika kipindi cha amani, primary task ya jeshi ni ulinzi lakini nje ya ulinzi majeshi yetu yanaweza kufanya kazi nyingine za kuisaidia serikali na jamii mfano katika maafa pamoja na majanga mbalimbali kwa hiyo mheshimiwa Rais kuyaagiza majeshi wafanye hiyo kazi kwa mujibu wa maandiko ya Katiba yetu bado yuko sawa kabisa sio kila kitu cha kupinga, kabla hujapinga kitu lazima uje na hoja ya ushawishi yenye kuonesha kwamba hicho unachokipinga ni sahihi au laah, kwa maamuzi ya Mheshimiwa atakuwa amewasaidia sana wakulima.
 
Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.

Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.

Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.

Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.

Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.

Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.

Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.

Tusitumie jeshi letu kisiasa.
Hata hiyo ni kazi ya jeshi pia mkubwa
 
ha ha ha ha ha ha ha

Wakulima wa Mbaazi mmeanza Fitna

Nyie endeleeni kula Mbaazi mpate protin ya kwenye mimea

'Korosho kwanza Mengine baadae'- Hawa Ghasia

Na nyie Wakulima wa Sijui Nyanya Sijui Tikiti vuteni subira nyie tunatumia Magari ya Washawasha kuja kwenu
Account yako imedukuliwa?
 
Back
Top Bottom