Jeshi letu linatumika vibaya

Jeshi letu linatumika vibaya

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,710
Reaction score
6,372
Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.

Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.

Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.

Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.

Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.

Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.

Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.

Tusitumie jeshi letu kisiasa.
 
Yaani wewe ni nani unabishana na amiri jeshi mkuu? Wasaidizi wote wakaribu, akiwemo DAB, wameufyata na wanayaona maamuzi ya mamlaka ya uteuzi na hawezi kushauri kinyume cha matakwa ya mkuu ili kujilindia kaugali kao. Wacha tuufyate tu aisee!
 
tapatalk_1541959324648.jpeg
 
ha ha ha ha ha ha ha

Wakulima wa Mbaazi mmeanza Fitna

Nyie endeleeni kula Mbaazi mpate protin ya kwenye mimea

'Korosho kwanza Mengine baadae'- Hawa Ghasia

Na nyie Wakulima wa Sijui Nyanya Sijui Tikiti vuteni subira nyie tunatumia Magari ya Washawasha kuja kwenu
 
Ila kujenga ukuta Mererani kuzuwia Tanzanite isiibiwe ni sawa. Wala hatukusikia hata siku moja jeshi linatumika vibaya, sijui kwasababu kule ni Arusha?
Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.

Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.

Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.

Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.

Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.

Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.

Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.

Tusitumie jeshi letu kisiasa.
 
Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.

Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.

Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.

Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.

Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.

Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.

Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.

Tusitumie jeshi letu kisiasa.
Naomba nikukumbushe tu mtoa thread, january 9, 2018 Wizara ya kilimo ilitumia gari za jeshi kupeleka Mbolea mkoani Rukwa baada ya Mh Rais kuwawakia Wizara.
 
Ngoja nchi ivamiwe wakati magari ya jeshi yamesheheni korosho ndipo utakapojua kuwa maharage si mboga.
 
Unayetumika vibaya ni wewe either kwa kujua au kutojua,

Jeshi linatumika kubeba korosho tu, jambo ambalo ni la kawaida sana sasa sijui huu wasi wasi mnaotaka kuonesha kuwa upo unalenga nini hasa
Jibu na hoja ya pili inayohoji baada ya kuzibeba wanazipeleka wapi? Au wanakwenda kuzihifadhi kwenye kambi zao?
 
Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.

Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.

Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.

Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.

Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.

Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.

Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.

Tusitumie jeshi letu kisiasa.
Sasa kama hakuna vita. Ulitaka hayo magari yaozee yard.!?
 
Kwa ninavyofahamu kulitumia jeshi kusafirisha mizigo au bidhaa ya serikali sio kosa ila ni moja ya majukumu ya jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ) kupitia Jeshi la kujenga Taifa (JKT).

ASANTE
 
Hili swala la ununuzi sijui usombaji wa korosho siyo jukumu la jeshi letu.

Dunia inashangaa kuona jeshi letu badala ya kulinda mipaka ya nchi linatumika kuwatisha raia na mali zao.

Hatukununua magari ya jeshi Kwa ajili ya kusomba korosho ambazo hata hatuja ambiwa zinasombwa kupelekwa wapi.

Kuliingiza jeshi kufanya kazi ndogondogo kama hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.

Huenda Amri jeshi hajui muda wa kukagua magari na kutembelea jeshi, ni ule muda ambao Nchi ipo kwenye hatari ya kuvamiwa.

Unapotembelea jeshi Kwa minajili ya kununua korosho tunakua na mashaka na nia yako.

Tulipe jeshi letu heshima.lina kazi kubwa ya kufanya Kwa ajili ya kulinda mipaka ya nchi yetu siyo kusomba sijui kubangua korosho.

Tusitumie jeshi letu kisiasa.
hakuna uachokifahamu unaongozwa na mihehemko tu, ongeza maarifa kidogo
kati.PNG
 
Back
Top Bottom