Jeshi la zimamoto lalamika ukosefu wa Vifaa na Rasilimali Watu, huku Mkemia atatuangamiza

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
CHANGAMOTO-Jeshi la Zimamoto Nchini Limekiri kukabiliwa na changamoto ya ufinyu wa rasilimali watu na vitendea Kazi kazi

Haya Ni maneno yangu:
Kwani Uhakiki haujaisha tuu mbona tunasikia hata JWTZ yenyewe imeishiwa Wanajeshi.

Source: Mwananchi Ukurasa wao wa Twitter
 
Screenshot_2017-04-11-15-43-09.png
 
Waziri Mkuu anadanganya Uma eti Ajira 418,000 yaani wameiandika tuu hiyo.
 
Hakuna chombo muhimu kama jeshi la zina moto maana wao huwa wanakabiliana sana n'a majanga ya kila aina....
Wanatakiwa waongezewe nguvu ya vyombo vya kiutendeaji kazi

Ova
 
Hakuna chombo muhimu kama jeshi la zina moto maana wao huwa wanakabiliana sana n'a majanga ya kila aina....
Wanatakiwa waongezewe nguvu ya vyombo vya kiutendeaji kazi

Ova
Clearly kwa sasa Taangu Aajiri Kikwete 2014 hawajaajiri.
 
CHANGAMOTO-Jeshi la Zimamoto Nchini Limekiri kukabiliwa na changamoto ya ufinyu wa rasilimali watu na vitendea Kazi kazi

Haya Ni maneno yangu:
Kwani Uhakiki haujaisha tuu mbona tunasikia hata JWTZ yenyewe imeishiwa Wanajeshi.

Source: Mwananchi Ukurasa wao wa Twitter
Jeshi la zimamoto la kazi gani ?.nani kakuambia uchome nyumba .au ulisikia nikihaidi hilo kuzima moto !!??na tena hivi unaniamrisha ndio kabisa sifanyi mheee .hapa ni kazi tuu
 
Back
Top Bottom