K KIEMBE Senior Member Joined Aug 29, 2013 Posts 109 Reaction score 11 Feb 28, 2014 #1 Jamani samahanini naomba mnifahamishe maana kuna ndugu ananisumbua sana. Hivi hawa jamaa wa jeshi la zimamoto na uokoaji majibu yao lini?
Jamani samahanini naomba mnifahamishe maana kuna ndugu ananisumbua sana. Hivi hawa jamaa wa jeshi la zimamoto na uokoaji majibu yao lini?
K Kaka Jambazi Member Joined Dec 23, 2012 Posts 99 Reaction score 7 Feb 28, 2014 #2 Kuanzia j3 ndo barua zimeanza kuchambuliwa, stay tune!
baldin Senior Member Joined Jan 2, 2012 Posts 185 Reaction score 41 Feb 28, 2014 #3 watatangaza tu hao cyo wababaishaji.
M mikazó JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 204 Reaction score 16 Feb 28, 2014 #4 kiembe said: jamani samahanini naomba mnifahamishe maana kuna ndugu ananisumbua sana. Hivi hawa jamaa wa jeshi la zimamoto na uokoaji majibu yao lini? Click to expand... we si useme wewe ndiyo unataka kujua,usimsingizie ndugu yako
kiembe said: jamani samahanini naomba mnifahamishe maana kuna ndugu ananisumbua sana. Hivi hawa jamaa wa jeshi la zimamoto na uokoaji majibu yao lini? Click to expand... we si useme wewe ndiyo unataka kujua,usimsingizie ndugu yako