Christopher kipuyo Member Joined Aug 11, 2013 Posts 21 Reaction score 5 Nov 5, 2013 #21 YK na PK lao moja,wao ndo wanaaribu hii region ya great lake,si wajitusu tu nao wachezee kichapo wanafki wakubwa hao,hawapati tena almasi. DEAD END!
YK na PK lao moja,wao ndo wanaaribu hii region ya great lake,si wajitusu tu nao wachezee kichapo wanafki wakubwa hao,hawapati tena almasi. DEAD END!
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 Nov 5, 2013 #22 Ina maana hilo jeshi la uganda(UMF) hawajui kuwa congo kuna machafuko hali itakayosababisha mabomu kuanguka ktk maeneo ya karibu?
Ina maana hilo jeshi la uganda(UMF) hawajui kuwa congo kuna machafuko hali itakayosababisha mabomu kuanguka ktk maeneo ya karibu?
UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2013 Posts 942 Reaction score 567 Nov 6, 2013 #23 uganda ni nchi ndogo sana kijeshi wasingepaswa kuwaonya drc bali wangeomba drc iwe makini kuonya c neno linalofaa kwa drc,kabila ana jeshi kubwa tangu ln jerry akamtishia tom
uganda ni nchi ndogo sana kijeshi wasingepaswa kuwaonya drc bali wangeomba drc iwe makini kuonya c neno linalofaa kwa drc,kabila ana jeshi kubwa tangu ln jerry akamtishia tom
S Swat JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 4,201 Reaction score 2,003 Nov 6, 2013 #24 Wachunge midomo yao. Wakati wahuniJwa m23 wanatamba walikua kimya,sasa wanapigwa wanaongea.JWTZ ina uwezo wa kuwagonga wote kwa pamoja.!
Wachunge midomo yao. Wakati wahuniJwa m23 wanatamba walikua kimya,sasa wanapigwa wanaongea.JWTZ ina uwezo wa kuwagonga wote kwa pamoja.!