Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
jeshi la uganda limeonya serikali ya congo kufuatia mabomu mawili kuangukia bunagana kwenye mpaka na uganda wakat wakishambulia waasi wa m23 asubuh ya leo.
mamia ya watu wamekimbilia wilaya ya kisoro.
source : NTV Uganda
Mabomu yalikuwa yanamfuata kiongozi wa m23, kama vipi wamuonye na yeye kwa kitendo cha kukimbilia ug. chapa hao kama vipi tutapitia mutukula.
Kwa nini wasiwalaani M23 kwa kukimbilia upande wa Uganda?

hawana ofisi ya kupokea malalamiko na mabomu sio ya kwao
nimecheka sana, lakini ni ukweli mtupu!
idi aminiii akija, sisi tupo tayari, idi amini akija sisi tupo tayari,
akija nchi kavu kanyaga, kanyaga kanyaga kanyagax2 sisi tupo tayari.
Jamani napiga jaramba manake wanakera sana hawa walevi wa damu za watu, i.e. m7 na yule mwenye jina la nchi yake, bila kumsahau kimbaumbau kagome.