Jeshi la Rwanda

100% Ile intofahamu /Vuguvugu Lililotokea Mwaka Jana kati yeu na Hawa Watsi,Siyo Siri Kama Tungeingia Vitani, Ni wazi Tungeupata Ushidi, Ila Wapiganaj wetu Wengi Wangeangamia Kwa Sababu ya Hivi Vimwanana.

Kwa nini Niseme Hivyo; Hata Biblia Inatumbia Samson, yule Shujaa Mwenye nguvu za Kutisha, Wafilisti Baada ya Kumsoma Kwa muda Mrefu Waliamua Kumtumia Kimwana Delila...

Hata Hivyo Kama Unaombea Kwenda Mstari wa Mbele,Hautawaona hao Vimana kwa Maana wanaonekanaga Baada ya Kuisha Vita pale Wanapokuwa defeated. Utawakuta wameshavua magwanda wakiwa raia wa kawaida.

Usiombe Kukutana nao wakiwa civilian,Utumbo lazima Ukuchomoke na Unafahamu yale Mavisu na Mindu Waliyokuwa Wanaitumia Kwenye mauaji yao ya Kibali ya 1994.

Usiombe Kukutana na Mtsi kwenye territory yake. Waulize WaUtu Utapata Habari yako...
 
Wasafisha vyoo vya wakubwa na ofisi zao hao hawaendi vitani kamwe hutumika kukusanya data za hapa na pale huko na huko eg vyuoni n.k
 
Daahhh ghafla unajikuta upo katikati yao, ntaomba wanifunge kamba waendelee kushughulika
SINA IMANI NA UKAWA
 
Daaaadeki nawaza sijui ile mahari niliyotoa niiache ipotelee huko huko niende Rwanda!???
 

Historia zote zinaonyesha mapigano ya haya makabila mawili yalikuwa uneven, either jeshi la watutsi linaua wahutu civilians, au jeshi la wahutu linaua watutsi civilians.interesting, ni lini mtutsi na mhutu civilians walikutana kwenye territories zao na kupigana?
 
Kiukweli kila nionapo mabinti wa Rwanda na Ethiopia hunifanya noghairi maamuzi yangu ya kuvuta kimwana wa kibongo.

Mkuu Viol na falcon mombasa ebu tupieni izoefu wenu juu ya hawa viumbe ukiachilia mbali uzuri wa kutungua walionao je nao wana tamaa kama hawa jinsia ya kike ya dada zetu wa kibongo?
 
Last edited by a moderator:
kwani hatuwezi kuomba nao vita ya kirafiki???????
 
Huyo wa kati anaetunyoshea vidole balaa!
 
mkuu nina uzoefu na waethiopia,ila wanawake wa kiethiopia hawana shida kabisa,ila hawa wanyarwanda nimekutana nao nawaona si wakujichanganya sana na watu wa mataifa mengine,wanapenda sana kujichanganya wenyewe
 
Daaaadeki nawaza sijui ile mahari niliyotoa niiache ipotelee huko huko niende Rwanda!???
mkuu ni wazuri kweli,kuna binti anafanya moyo wangu udunde pah pah pah,yaani huu mwezi wa nne anakubali hapo hapo kama anachomoa,mpaka naanza kukata tamaa
 
nadhani wahutu na watusi wako poa ila kuanzia ile mauaji ya halaiki ndo urafiki wa mashaka ukaanza
 
nadhani wahutu na watusi wako poa ila kuanzia ile mauaji ya halaiki ndo urafiki wa mashaka ukaanza

Actually uhasama ulianza wakati wa ukoloni, kuanzia hapo mpaka sasa hawajawahi kukaa chini na kusuluhisha kama taifa.
 
Hivi kati ya hao wahutu na watutsi wapi ni warembo sana?
 
Ikitokea vita naomba nipelekwe mstari wa mbele


Mimi siwapendi wa uzuri wao bali kwa kujitolea kulinda nchi yao. Tatizo ninaloliona kwenye picha hiyo, ni kukosekana kwa wanawake askari kutoka kabila la wahutu. Rwanda haitakaa itulie kwa ubaguzi huo wa waziwazi.

Kwa wale wenye mapenzi na akina mama wa Rwanda mbona ni rahisi tu na vimwana hawa hawana matatizo? Kuna basi la Taqwa pata ticket utue Kigali au kiterama au nyamisosi utakuja naye tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…