Nimeambiwa kwamba hao ni ''watoto'' wa ''JKT'' lao. Sio wanajeshi halisi!
100% Ile intofahamu /Vuguvugu Lililotokea Mwaka Jana kati yeu na Hawa Watsi,Siyo Siri Kama Tungeingia Vitani, Ni wazi Tungeupata Ushidi, Ila Wapiganaj wetu Wengi Wangeangamia Kwa Sababu ya Hivi Vimwanana.
Kwa nini Niseme Hivyo; Hata Biblia Inatumbia Samson, yule Shujaa Mwenye nguvu za Kutisha, Wafilisti Baada ya Kumsoma Kwa muda Mrefu Waliamua Kumtumia Kimwana Delila...
Hata Hivyo Kama Unaombea Kwenda Mstari wa Mbele,Hautawaona hao Vimana kwa Maana wanaonekanaga Baada ya Kuisha Vita pale Wanapokuwa defeated. Utawakuta wameshavua magwanda wakiwa raia wa kawaida.
Usiombe Kukutana nao wakiwa civilian,Utumbo lazima Ukuchomoke na Unafahamu yale Mavisu na Mindu Waliyokuwa Wanaitumia Kwenye mauaji yao ya Kibali ya 1994.
Usiombe Kukutana na Mtsi kwenye territory yake. Waulize WaUtu Utapata Habari yako...
mkuu nina uzoefu na waethiopia,ila wanawake wa kiethiopia hawana shida kabisa,ila hawa wanyarwanda nimekutana nao nawaona si wakujichanganya sana na watu wa mataifa mengine,wanapenda sana kujichanganya wenyeweKiukweli kila nionapo mabinti wa Rwanda na Ethiopia hunifanya noghairi maamuzi yangu ya kuvuta kimwana wa kibongo.
Mkuu Viol na falcon mombasa ebu tupieni izoefu wenu juu ya hawa viumbe ukiachilia mbali uzuri wa kutungua walionao je nao wana tamaa kama hawa jinsia ya kike ya dada zetu wa kibongo?
mkuu ni wazuri kweli,kuna binti anafanya moyo wangu udunde pah pah pah,yaani huu mwezi wa nne anakubali hapo hapo kama anachomoa,mpaka naanza kukata tamaaDaaaadeki nawaza sijui ile mahari niliyotoa niiache ipotelee huko huko niende Rwanda!???
nadhani wahutu na watusi wako poa ila kuanzia ile mauaji ya halaiki ndo urafiki wa mashaka ukaanzaHistoria zote zinaonyesha mapigano ya haya makabila mawili yalikuwa uneven, either jeshi la watutsi linaua wahutu civilians, au jeshi la wahutu linaua watutsi civilians.interesting, ni lini mtutsi na mhutu civilians walikutana kwenye territories zao na kupigana?
nadhani wahutu na watusi wako poa ila kuanzia ile mauaji ya halaiki ndo urafiki wa mashaka ukaanza
Ikitokea vita naomba nipelekwe mstari wa mbele
![]()