Jeshi la Polisi wametanda ofisi za CHADEMA kanda ya Pwani wanarusha mabomu

Habar wakuu hali ni tete hapa kinondoni polisi wanapiga mabomu kwa wananchi na wapenzi wa CHADEMA waliokuwa wanamsindikiza mgombea wao Salum Mwalimu,hali ni mbaya sana..taarifa zaid zinakuja
Wanafanya lile wanaoliweza tusiwaulumu
 
Kampeni zinaisha saa ngapi na sasa ni saa ngapi???Huo ni mkusanyiko usio halali,muda wa kampeni unajulikana.
Mambo mengine tuhoji kwanza kabla ya kutoa malalamiko yetu.
Ww haya mambo yameanza tokea jioni watu wakitokea kwenye kampeni mm nilikutana na huo mtiti maeneo ya mkwajuni polisi kibao watu wakienda magomeni
 
0f80056e5963688df5c6ee40fd018aa2.jpg
 
Kampeni zinaisha saa ngapi na sasa ni saa ngapi???Huo ni mkusanyiko usio halali,muda wa kampeni unajulikana.
Mambo mengine tuhoji kwanza kabla ya kutoa malalamiko yetu.
Ili mkusanyiko uwe halali unatakiwa uweje. Juzi baada ya Mechi ya Yanga na Jana ya Simba mashabiki wa timu hizo walikusanyika kwenye Makao Makuu ya Klabu zao, mbona hawakurushiwa mabomu?
 
Ume post dakika 2 ,zilizopita means saa 20:10 na umesisitiza tukio hilo linatokea Sasa hivi. Hapo ni nje ya muda wa kampeni. Wanamsindikiza kwenda wapi? Na kwa nini?
Muda wa kampeni za Majukwaani na zile baada ya majukwaa ni tofauti. Halafu kumsindikiza mgombea wao ni kosa kwa mujibu wa sheria gani?
 
Habar wakuu hali ni tete hapa kinondoni polisi wanapiga mabomu kwa wananchi na wapenzi wa CHADEMA waliokuwa wanamsindikiza mgombea wao Salum Mwalimu,hali ni mbaya sana..taarifa zaid zinakuja
Hao wafuasi wa Chadema wanafanya nini mpaka saizi badala ya kuwahi kulala.

Isije kuwa ni kundi la vibaka waliovalia sare za Chadema.
 
nguvu haisaidii wananchi wakishaamua hata mpige mabomu ya nuclear ni kazi bure tu
 
Back
Top Bottom