Jeshi la polisi lawatawanya wafuasi wa MM

Jeshi la polisi limewatawanya wafuasi wa naibu katibu mkuu mstaafu wa CDM Zitto Kabwe waliotaka kupigana na wafuasi watiifu wa chama hicho mara baada ya mahakama kuahirisha hukumu ya kesi iliyotolewa na Zitto dhidi ya CHADEMA.
Source EATV

Ni naibu katibu mkuu alie FUKUZWA. sii mstaafu ucmpe ujiko kama mnaompa nanihii,,,,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom