Jeshi la polisi mkoani Dodoma limesema litawasaka BAVICHA popote walipo mkoani Dodoma na kutoa onyo kwa wananchi waliowahifadhi pia kuwa watakamatwa
Kamanda wa polisi mkoa huo Lazaro Mambosasa amesema walio kuja Dodoma wanahesabiwa kuwa wamekuja kuvamia Dodoma kwa ajili ya kuhamamsisha wahalifu wenzao na kuchochea wananchi waichukie serikali yao kwa maneno ya kichochezi ya TUUNGANE TUMKATAE DIKTETA UCHWARA
Magu amewajaza hofu ya utendaji watumishi wa serikali.. Na wao wamejawa hofu ya kutumbuliwa na kuwapelekea kupoteza weledi wa kazi wasije wakahakikiwa... Wamekua wakukurupuka.
uchochezi kukataa UDIKTETA UCHWARA!!!?
Kwa mara ya kwanza nashuhudia vyombo vya usalama vikishabikia UDIKTETA
Hivi Dikteta uchwara ni nani?.............nauliza kwa sababu nilikuwa kijijini, huko Muziki ni sauti za ndege