Jeshi la polisi latangaza kuwasaka BAVICHA popote walipo, wananchi wanaowaficha nao watakamatwa

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,959


Jeshi la polisi mkoani Dodoma limesema litawasaka BAVICHA popote walipo mkoani Dodoma na kutoa onyo kwa wananchi waliowahifadhi pia kuwa watakamatwa
Kamanda wa polisi mkoa huo Lazaro Mambosasa amesema walio kuja Dodoma wanahesabiwa kuwa wamekuja kuvamia Dodoma kwa ajili ya kuhamamsisha wahalifu wenzao na kuchochea wananchi waichukie serikali yao kwa maneno ya kichochezi ya TUUNGANE TUMKATAE DIKTETA UCHWARA
 
Mbowe alishawaambia BAVICHA waachane na mpango wao wa kwenda Dodoma kuzuia mkutano mkuu wa CCM. Naamini watamtii mwenyekiti wao (Mbowe).
 
Magu amewajaza hofu ya utendaji watumishi wa serikali.. Na wao wamejawa hofu ya kutumbuliwa na kuwapelekea kupoteza weledi wa kazi wasije wakahakikiwa... Wamekua wakukurupuka.
 
acpopanda cheo uyu jamaa mwaka uhu au ujao, tashangaa mana anajtahd kutekeleza anacho2mwa
 
26a60b6f31909c38b344dd447378ea47.jpg

huyo ameshakamatwa?
 
Siku kikinuka polic hawatokuwa na kazi wataweka magwanda yao kando watavaa nguo zakiraia.je watachanganyikana na raia?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom