Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,469
- 2,902
Kwa muda mrefu eneo la Arumeru Mashariki limekuwa likilima zao la bangi. Kila mwaka tumekuwa tukisikia bangi ikichomwa ama kukamatwa eneo hili, najiuliza, kwa wale mnaojua Arumeru sio eneo kubwa la kushindwa kuwajua walima bangi, kwanini kwa muda wote huu tumeshindwa kulikomesha zao hili?
Tunakuwa wapi wakati wakiandaa mashamba ya bangi tusigundue mpaka tukawatie hasara wakati wa kuvuna? Je hapo kuna anayefaidika.
Mshangao mwingine ni kwamba eneo hili ndiko iliko shule iliyokuwa ya kwanza kitaifa kwa mujibu wa Baraza la Mitihani; inaweza kuhusiswa na ulimaji wa bangi katika eneo hili?