Jeshi la polisi kuchunguza tuhuma za mengi

Jeshi la polisi kuchunguza tuhuma za mengi

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
jeshi la polisi limesema limepata taarifa zilizotolewa na mh REGINALD MENGI jana na kuwatangazia kwamba wameanza kuwachunguza na yoyote mwenye kuasthiriwa na usemi wa mengi anaweza kufwata procedure .....
hawa JESHI LA POLISI wanafiki watupu kila siku wanachunguza sijui na wao waanze kuchunguzwa kwanza.....they r westing their time ....
SRCE KAMISHNA WA POLISI JUMA SAID
 
Back
Top Bottom