Jeshi La Polisi Kanda Maalum ya Dar: Hatujapokea Taarifa Za Tishio La Padre Kitima Kuaawa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,357
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Limetoa taarifa ya kuwa halijapokea taarifa yoyote ile juu ya uwepo wa tishio la kuuwawa kwa Dkt Kitima katibu Mkuu wa TEC. Ambaye hivi karibuni alitoa taarifa zenye kueleza uwepo wa Taarifa za Tishio la kuuwawa kwake.

Akisema ya kuwa siku chache zilizopita alitaka kuhudhuria msiba wa Marehemu Jenista Mhagama lakini akashindwa baada ya kupewa Taarifa za kumtaka asihudhurie kutokana na kuwindwa na watu aliodai wasiojulikana.

Ikumbukwe ya Kuwa Padri huyu Amekuwa akizungumza mambo mbalimbali bila kuweka ushahidi hadharani ama kutoa taarifa ama kuripoti katika vyombo vya ulinzi na Usalama hususani Jeshi la polisi ambalo ndio lenye Jukumu hilo la kuchunguza ,kupeleleza na kufanyia kazi madai ya aina hiyo juu ya usalama wa mtu yeyote yule anayehisi yupo hatarini ama anawindwa na watu wasiojulikana.

Embu soma hapa taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kupitia Kamanda wake wa Kanda hiyo Jumanne Mulilo.👉Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema hawajapokea taarifa yoyote kutoka kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Dkt. Charles Kitima juu ya madai ya kutaka kuuliwa.

Akijibu swali la Mwandishi wa AyoTV leo Kamanda Muliro alisema “Ndio nimesikia kutoka kwako, kazi ya Jeshi la Polisi ni kulinda kila Mtu wakiwemo Ma-Father”.

Itakumbukwa hivi karibuni, Padri Kitima alisikika akizungumzia hofu ya maisha yake wakati akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo Padri Dkt. Faustine Furaha wa Jimbo Katoliki Moshi ambaye amechukua nafasi ya Padri Chesco Msaga aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ya Kristo Duniani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251222-193115_2.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3519196
Kweli wewe Mwashambwa ni mtu mnafiki, aliyebeba roho ya shetani. Hilo jina ni zito sana, ulistahili uliheshimu kwa matendo na kauli zako. Endelea kufurahia madhira ya binadamu wenzako, kuna siku yatakufika ili ufundishwe namna binadamu wenzako walivyokuwa wakiumia.

Yaani kwa ushetani mkubwa unathubutu kusema kuwa eti Fr. Kitima amekuwa analalamika bila uthibitisho!! Unataka uthibitisho wa namna gani? Mtu ameshambuliwa na maagent wa Swrikali, waliotaka kumwua, Mungu akampa uzima wakati wao walijua wamemwua, halafu bila aibu unathubutu kusema kuwa eti huwa analalamika bila uthibitisho. Ungekuwa na roho ya ubinadamu ungekuwa unawahoji waliosema kuwa wanafanyia uchunguzi shambulio, mbona hawatoi taarifa? Lakini kwa namna shetani alivyoweka makao katika moyo wako, hayo huulizi, kwa sababu waliofanya hayo ni dhidi ya Fr. Kitima ni wenzako katika ushetani.

Hakika nakuapia kwa jina la Mungu aishiye, usipobadilika, ukaendelea kufurahia madhira dhidi ya wanadamu wenzako, kuna siku Mungu atakuonesha maumivu yale waliyokuwa wakiyapata hao uliofurahia mateso yao. Siasa, dini, kabila au tofauti zetu ndogondogo, zisitufanye tukasahau ubinadamu wetu ambao Mungu ameupa thamani kubwa lakini ninyi mmeudharau na kuona ni rahisi kuuondoa kwa sababu tu amekemea uovu wenu.
 
we kama nani maana hii account yako kuna siku tunaanza kuweka uzi wako Moderator huyu mtu tunashindwa kuweka taarifa zake ila mnaampa airtime ya propaganda
Naona umechanganyikiwa na kuanza kupiga mayowe na makelele utafikiri kengele
 
Embu soma hapa taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kupitia Kamanda wake wa Kanda hiyo Jumanne Mulilo.
Wewe unawaamini hao?
Kabla TAL hajashambuliwa alitoa taarifa polisi kuhusu waliokuwa wakimfuatilia kila mara, hakuna kilichofanyika kuzuia, na hata baada ya kushambuliwa hakuna aliyewahi kukamatwa.

Soka na mwenzake Mbise waliitwa na polisi kituoni Chang'ombe, hawakuwahi kupatikana tena.

Sativa alipotekwa alifikishwa kwanza O'bay, akaonana na afande mtekaji kinara, kabla ya safari ya Katavi.

Matukio ya aina hiyo ni mengi sana. Acheni hizi ngojera na propaganda
 
Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Limetoa taarifa ya kuwa halijapokea taarifa yoyote ile juu ya uwepo wa tishio la kuuwawa kwa Dkt Kitima katibu Mkuu wa TEC. Ambaye hivi karibuni alitoa taarifa zenye kueleza uwepo wa Taarifa za Tishio la kuuwawa kwake.

Akisema ya kuwa siku chache zilizopita alitaka kuhudhuria msiba wa Marehemu Jenista Mhagama lakini akashindwa baada ya kupewa Taarifa za kumtaka asihudhurie kutokana na kuwindwa na watu aliodai wasiojulikana.

Ikumbukwe ya Kuwa Padri huyu Amekuwa akizungumza mambo mbalimbali bila kuweka ushahidi hadharani ama kutoa taarifa ama kuripoti katika vyombo vya ulinzi na Usalama hususani Jeshi la polisi ambalo ndio lenye Jukumu hilo la kuchunguza ,kupeleleza na kufanyia kazi madai ya aina hiyo juu ya usalama wa mtu yeyote yule anayehisi yupo hatarini ama anawindwa na watu wasiojulikana.

Embu soma hapa taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kupitia Kamanda wake wa Kanda hiyo Jumanne Mulilo.👉Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema hawajapokea taarifa yoyote kutoka kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Dkt. Charles Kitima juu ya madai ya kutaka kuuliwa.

Akijibu swali la Mwandishi wa AyoTV leo Kamanda Muliro alisema “Ndio nimesikia kutoka kwako, kazi ya Jeshi la Polisi ni kulinda kila Mtu wakiwemo Ma-Father”.

Itakumbukwa hivi karibuni, Padri Kitima alisikika akizungumzia hofu ya maisha yake wakati akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo Padri Dkt. Faustine Furaha wa Jimbo Katoliki Moshi ambaye amechukua nafasi ya Padri Chesco Msaga aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ya Kristo Duniani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3519196
Seng mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom