Jeshi la Polisi Arusha lazuia mikutano ya Lema ili kupisha mtihani wa darasa la saba na mbio za mwenge

Ningelikuwa raisi wa nchi hii ningepiga marufuku mbio za mwenge kwakua zimepitwa na wakati!
 
Babu yangu alishawahi kuniambiaga kuwa huo Mwenge unanyonya watanzania damu!
 
Kwani mitihani ndio mara ya kwanza kufanyika ama anaenda kufanyia mikutano madarasani?


Hopeless
 
Ni ujinga na utoto leo kuendekeza kukimbiza eti "Mwenge" wakati kuna kazi nyingi za kufanya! Huku ni kuendelea kulazimisha CCM kukubalika. Ni uendelezaji wa watu kupigwa "uzezeta"! Kwani, nembo ya taifa iko moja tu?? Ingia hapa Tovuti Kuu ya Serikali: Alama za Taifa utaona nembo za Taifa! Mbona hatujawahi kumtembeza "Twiga" nchi nzima? Kwani U.S.A huwa wanamtembezaga "Tai/ Eagle"???
 
Haijawahi kutokea nchi hii mikutano kuzuiwa kama inavyotokea katika utawala huu. Tukisema kuna ubaguzi nchi hii kuna watu wanakataa. Huu siyo ubaguzi wa kivyama?
 
lema anachokiwaza ni mikutano tu ya kupigia porojo. kazi hafanyi.
 
Ha sa nyumbu bhana hivi wanaakili kweli??!! Lema anadegree kweli!! Mbona kaambiwa ukweli polisi ni wachache watakuwa kwenye shughuri zingine za kitaifa kama mwenge na baadae mitihani!!! Lakini hii m.bwa haielewii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom