Jeshi la kujenga taifa na ubaguzi

mkwawa gabriel

Senior Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
100
Reaction score
23
Inavo onekana kumekuwepo na ubaguzi wa kujiunga na jeshi la kujenga taifa katika nchi yetu ya tanzania
Malengo ya Jeshi la kujenga Taifa nikuwaandaa vijana wa tanzania kuwa wazalendo na kuwafundisha uwezo wa kujiajiri na kuajiriwa na vyombo vya ulinzi na usalama lakin vijana walio wengi wa tanzania yetu hii ya leo ni wasomi ambao ajira inasumbua sana,na jeshi hili limeonekana linapenda kuchukua vijana wa miaka 18 had 23 tu na wakati wapo vijana wa kitanzania wenye umri wa miaka hadi 30 wamemaliza vyuo vikuu na hawana ajira je ni kwann jeshi hili lishindwe kuwaajiri vijanhao ili kuwalea na kuwapatia mbinu ambazo zingewasaidia kujiajiri na kuajiriwa na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi hii.
Je ni kwa nn jkt iajiri vijana wa darasa la saba mpaka form six tu wakati kunavijana pia walio maliza vyuo vikuu ambao pia wana haki na niwatanzania pia??.
WASIWASI:
Tatizo ni nin kwa jkt kuajiri vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 23 tu,wakati wapo pia wasomi wenye umri zaid ya huo hawana ajira
HUU NI UBAGUZI AU NDO NN?
 
Jkt inaajili...sijakupata vizuri...ngoja nirudie kusoma tena thread yako nitarudi...nisporudi naomba ufafanuzi hapo....'jkt kuajili' du!!!
 
ajira sio jeshi tu, tafuta shamba au fuga utapata ugumu mwanzoni ila bdae mambo yatakuwa mazuri.


 
Hey.jkt haitoi ajira ila inaandaa vijana wenye weledi na uzalendo wa kulitumikia taifa.vijana wanaotoka jkt wanachukuliwa kwenda kwenye kazi mbalimbali kama polisi,jwtz,magereza,immigration,fire,n.k.sasa kuhusu swali lako kwann kuna limitation ya umri kwenye intake ya jkt ni kwamba.huwa hawaitaji watu waliokaa sana mtaani kwani wanakuwa wamesha adopt na kudevelop tabia tofauti ndo mana wengi wa umri wa 18-23 ni fresh from the school.kuhusu vijana wenye degree wana nafasi zao special za moja kwa moja either ni jwtz au immigration,kwa hiyo jwtz wakitoa nafasi nao wana apply kama kawaida kulingana na profession yako.kumbuka kwenda jkt sio mwisho unaweza kumaliza mafunzo jkt then jwtz wasikuajiri mana nao wanaanza usajili upya na huwa hauna longolongo.then kwa mtazamo uliopo ni kwamba wasomi(degree) walio wengi wanadharau jkt kwasababu hakuna malipo(salaris) pia opportunites za ajira ni baada ya miaka miwili sasa msomi atakayekubali kukaa kwa miaka miwili bila ajira then aje aambiwe jwtz au polisi wamebana nafasi za kazi hawawezi kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…