ugonile
Member
- Feb 2, 2013
- 37
- 9
wanajeshi wa mafunzo ya JKT maalufu kama makuruta wamefukuzwa na mkuu wa kambi pasipo sababu ya msingi baada ya mwezi 1 kwenye mafunzo kinacho semekana kuwa sababu ni maelewano mabaya kati ya mkuu wa kambi CO na msahiri kutoka makao makuu dar es salaam idadi walio fukuzwa ni makuruti ni 100 ila walio tolewa nje ya kambi ni 69 tu je hii ni haki wahukumiwe watu wa sio na makosa