Jeshi la Kuezeka

Kwamba dirisha mbili kwenye ukuta wa upande mmoja ndo fashen ya kisasa πŸ™† bc mm bado sana πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ huwa tunasema 'kuna fasheni acha zinipite tu' Hapo ningeweka dirisha moja ingebidi liwe kubwa sana ukuta mpana. Madirisha mawili yanavutia zaidi.
 
Nyumba nzuri namimi nitakuja kumiliki nyumba
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ huwa tunasema 'kuna fasheni acha zinipite tu' Hapo ningeweka dirisha moja ingebidi liwe kubwa sana ukuta mpana. Madirisha mawili yanavutia zaidi.
Ishu ya dirisha kuwa kubwa n maamuzi tuu, Tia dirisha moja size ya kati hapo katikati, unatullia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…