HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,373
- 94,568
Aliwahi zamishiwa meli zake zilizokuwa zaenda Palestine hakufanya kituChief, Edogan anaweza asitanie.. Hivi juzi tu jeshi lake limeshinda vita kwa Drones tu..
View attachment 1787236
Aliwahi zamishiwa meli zake zilizokuwa zaenda Palestine hakufanya kituChief, Edogan anaweza asitanie.. Hivi juzi tu jeshi lake limeshinda vita kwa Drones tu..
View attachment 1787236
Hujanijibu swaliVipi jana ulikuwa unashangilia viroketi vya hamas kurushwa israel ukasema wapalestina wamejitahidi tripu hii vipi sasa umeona majibu ya israel kwa hammas jinsi ndege za israel zinashusha viti vizito gaza magorofa yanavyoshushwa na kugeuzwa vumbi tayari makamanda wa hammas wapatao 33 na mkuu wa jeshi la Palestina wameshapelekwa kuzimu na magaidi wa hammas waliojificha mapangoni wamezikwa wazima wazima na makombora ya israel na raia 139 wa Palestina wameuawa
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
yahudi ni katili sana na ni ngumu kwa yahudi kubadili dini kuwa Muslim au mkristo,mungu alishapiga mihuri ktk mioyo Yao kwa ubishi waoTena Mchenzi wa juu kabisa tena nikupe siri moja bora sisi waislamu tunawependa wakristo na tunaweza kushi na nyie bila kuwabagua ktk dini zenu lkn Mayahudi hawakendeni nyie wakristo wala hawatupendi sie waislamu hilo ujue kabisa .
Ukiitwa jina ZITTO ujue unatatizo hata akili yako itakua nzittoMnawakuza sana wayahudi ila hakuna vita wameshinda kabla ya 1948.
Jesho lao kule Poland lilichakazwa na both warusi and Germany.
Kwenye 1st and 2nd crusade wayahudi walitandikwa in both France and Spain
Eastern Europe kule Lithuania, jews had an army but ilitandikwa mnoo na Russians.
Talk about stalin na vifo vya wayahudi
Hitler akaja kumaliza kazi
Wameshapigwa sana mkuu ni wavivu tu wahistoria ndio mnapotoshana. Kinachowasaidia ni back up ya US
But siku Russia/China zikiingia upande wa Palestina ndio mwisho wa Israel. Na huo muda utafika very soon
Njoo na hoja kijana.... Tatizo hampendi kusoma vitabu mnataka kusikiliza umbea tu na kumsubiri Gwajima awachambulie historia ya Israel?Ukiitwa jina ZITTO ujue unatatizo hata akili yako itakua nzitto
Elimu kama ya prof kabudi? Bora niendelee kulima maparachichiNjoo na hoja kijana.... Tatizo hampendi kusoma vitabu mnataka kusikiliza umbea tu na kumsubiri Gwajima awachambulie historia ya Israel?
JF ni sehemu ya GT kama unataka debate na wajinga wenzio wasio na elimu nenda FB au vijiwe vya kahawa.