Jeshi la Israel mpakani na Gaza kujiandaa na mashambulizi ya ardhini dhidi ya wanamgambo wa Hamas

netanyau endeleza dozi
Huwezi kupigana vita na watu hawana silaha ni sawa boxing kuingiza Tyson na Cheka. uwezo wa kivita hupimwa na anayelingana na wewe kwa kiasi ule mwaka waliingia ground kusini mwa Lebanon shughuli waliyokutana nayo kwa Hezbollah mpaka US akaingia kati kuomba yaishe. Watu hawana Kifaru hata kimoja wana vi rocket tu local made.
 
Mozambique, Congo, Eritrea na Somalia kuna vita, waafrika wenzetu ila mbona waafrika tuna hela za madini ila hatuwachangii pesa kupigana hizi vita???

Vita ya mwenzako sio yako, ni sawa na ugomvi wa jirani na mke wake uende kuuingilia.
Kuna wanamgambo tu sijui wameingia hapo Mozambique Parma sijui wameshindwa kuwatoa mpaka leo.
 
... kama mnajificha nyuma ya watoto au kuwavika mabomu afanyeje? Ni kuwabwatua tu hakuna namna.
Hao visa vyao sio vya jana wala juzi,kuna siku naangalia video border jamaa kaja na gari toka Palestina aingie Jerusalem, kaulizwa maswali rahisi tu ya kuingia border we akarudi kwenye gari katoka na Mjambia,
Jamaa hawakuchelewa wakambatua na kigari kikapigwa bomu fasta kikalipuka.
Sasa mle ndani kila aliyekuwemo ndo kafa tena kwa upuuzi wa baba yao.
 
Netanyahu hana akili, anapigana na wapalestina ambao ni watu wasio jiweza kijeshi, watu wanaotumia mawe na traditional short range missiles, halafu anajisifu kwenye vyombo vya habari.

Hao wapalestina wangekua na vifaa vya kijeshi kama vya Israel au vifaa vitatu kati ya hivi hapa chini;

1) Air Force.
2) Vifaru.
3) Nuclear.
4) Inter-Continental Ballistic Missiles (ICBM).
5) Anti-Ship Ballistic Missiles.
6) Anti-Tank Ballistic Missiles.
7) Air To Air Ballistic Missiles.
8) Tomahawk Cruise Missiles au Russian Warship Cruise Missiles SS-N-30.
8) Radar na Satelite Za Kijeshi.
9) Submarines.

Dunia ingesimama, maana Netanyahu na Wayahudi wangetoweka katika ramani ya dunia ndani ya siku 2 tu. Wale jamaa ni vichaa na sio waoga kama Iran na wengine wanapiga kelele za mdomo tu.
Israel sio nyepesi kiasi hicho na ubabe wao unatokana na idara zao za ujasusi kuwa imara. Wamefanikisha mission ngumu sana na nyingine zimeingia ktk historia.

Sio kwamba Iran na nchi nyingine hapo middle east ni waoga hapana wanajua uwezo wa kijeshi wa Israel na ndio maana huwezi kuona wakianzisha chokochoko na Israel pamoja na kuwa wana hizo silaha modern.
 
Netanyahu hana akili, anapigana na wapalestina ambao ni watu wasio jiweza kijeshi, watu wanaotumia mawe na traditional short range missiles, halafu anajisifu kwenye vyombo vya habari.

Hao wapalestina wangekua na vifaa vya kijeshi kama vya Israel au vifaa vitatu kati ya hivi hapa chini;

1) Air Force.
2) Vifaru.
3) Nuclear.
4) Inter-Continental Ballistic Missiles (ICBM).
5) Anti-Ship Ballistic Missiles.
6) Anti-Tank Ballistic Missiles.
7) Air To Air Ballistic Missiles.
8) Tomahawk Cruise Missiles au Russian Warship Cruise Missiles SS-N-30.
8) Radar na Satelite Za Kijeshi.
9) Submarines.

Dunia ingesimama, maana Netanyahu na Wayahudi wangetoweka katika ramani ya dunia ndani ya siku 2 tu. Wale jamaa ni vichaa na sio waoga kama Iran na wengine wanapiga kelele za mdomo tu.
Wanaweza kutumia hata za Iran, Iran anavyo vyote isipokuwa nuclear na hadi sasa ameshindwa kutumia dhidi ya Israel ingawa wana-operate Syria (kwa kumsaidia Assad) na pia wanaoperate Lebano kupitia Hizbollah. Kwa sasa Waarabu wote,hata waungane hawawezi kushindana na Israel labda miongo kadhaa ijayo.

Vv
 
A tower block in Gaza, housing the offices of the Associated Press and Al Jazeera news outlets, has collapsed after being hit by an Israeli strike.

The building had been evacuated beforehand after the owner received a warning from Israel, Reuters news agency says.

In a statement released shortly afterwards, the Israeli military said the building housed military assets belonging to Hamas, the Palestinian militant group that rules Gaza.
 
Waisraeli wana nguvu sana, hao Wapalestina watafute namna nyingine ya kupigana na hao jamaa kama ni maombi au vipi lakini physical war waiache, Wapalestina wanaweza malizwa kabisa kwa mtindo huu.
 
Hao wapalestina waombe tu wawe raia ndani ya israel, waishi kwa amani na israel ikubali wawe kitu kimoja waijenge israel. Wapalestina kupigana na wayahudi hawawezi yatawamaliza na maeneo yao yataenda kabisa.
 
A tower block in Gaza, housing the offices of the Associated Press and Al Jazeera news outlets, has collapsed after being hit by an Israeli strike.

The building had been evacuated beforehand after the owner received a warning from Israel, Reuters news agency says.

In a statement released shortly afterwards, the Israeli military said the building housed military assets belonging to Hamas, the Palestinian militant group that rules Gaza.
Wataomba poo kwa Netanyahu, nakwambia dunia kimya, From Moscow, Washington, Riyath and Mecca, the entire Europe.....wacha wanaume waonyeshe dunia nini wana uwezo wa kufanya
 
Back
Top Bottom