Nyie na hii dini yenu mshakuwa mabwe.ge tu, mara mnawasifu eti wapiganaji wa allah, mara mnawaponda eti wanatumika na Marekani.
Hakuna anaewasifu
Na samahan sana Mkuu usituite sisi na dini yetu ni mabwege
Mimi sijaikashifu iman yako wala mungu wako
Nilichosema mimi ni kwamba Bokoharam,alshaabab,alqaeda isis na violent groups zoote sio waislam
Uislam sio violence,uislam ni aman,,kuna waislam wangapi ulimwenguni hapa wapo sehemu mbali mbali wanaish na jamii mchanganyiko na watu wa iman zingine kwa aman??
Kwann kila kwenye hizo vurugu ambazo zinauhisha uislam lazima kunakuwa NA FOREIGN INTERVENTION??
HUKO KOOTE SIJUI LIBYA,IRAQ,SYRIA,AFGHANSTAN KOOTE HUKO UTAKUTA KUNA FOREIGN INTERVENTION AMBAYO BAADAE IMEZAA SECTERAIAN VIOLENCES ZA KUPANDIKIZWA KISHA BAADAE WANAKUJA KUUPAKA MATOPE UISLAM,
SASA KAMA WEWE HUTAK KUSKIA HIKI TUNACHOKUELEZA USIKIMBILIE KUITA WATU NI MABWEGE,
UMESKIA WAPI SISIW WAISLAM MFANO TUKIKIITA KIKUNDI KAMA CHA JOSEPH KONY L.R.A UGANDA KINACHOPIGANA KUTAKA KUSIMAMISHA MARI KUMI ZA MUNGU HUKU UGANDA HUKU IKITUMIA WATOTO WADOGO KAMA WANAJESHI WAKE NA KUBAKA WANAWAKE NA KUFANYA MAUAJI TUKISEMA WAKRISTO WANAVURUGU KWA KUTUMIA KIGEZO HIKO??
AU ANTIBALAKA WALIOJITAMBULISHA KAMA JESHI LA KUTETEA UKRISTO HUKU LIKISAIDIWA NA MAJESH KAMA YA UFARANSA KUUUA WAISLAM NA KUFIKIA HATUA HADI YA KULA NYAMAFU ZAO HAO WAISLAM TUKIIWATUHUMU WAKRISTO??
ANGALIEN SANA HIZO KAULI ZENU.