Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,299
- 9,797
Nakumbuka Sana Mzee walisema wao wanaitana chafu chafu yani chief of staffMzee alikuwa siku akiwa poa ilikuwa hadi unafurahi kuna siku nakumbuka anamuapisha Lt. Gen (Rtd) Y. Mohammed siku hiyo ilikuwa ni mwendo wa speech tu za maana nakumbuka Lt. Gen (Rtd) Samwel Ndomba alitoa madini ya maana kama watu wapo lecture room.



maisha bhna yanakwenda kasi sanaSent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app