jeshi JWTZ

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
812
Reaction score
397
wadau kuna tetesi kuwa nafasi za Proffesional kwa jwtz zimetoka je kuna ukweli wowote?! Msaada tafadhali
 
Ngoja kuna kanali flani yeye yuko kwenye ile kamati ya kurecruit graduates pale kunduchi nimuulize then nitakuja hapa tena
 
kazi nisizozipenda ya kwanza ni jeshi wengine wanazitamani umu
 
wadau kuna tetesi kuwa nafasi za Proffesional kwa jwtz zimetoka je kuna ukweli wowote?! Msaada tafadhali
Ni kweli! Na kuna chuo cha jeshi kinachotoa mafunzo kwa non-military officaers wa jeshi ambao kazi yao kubwa ni kuota huduma za ziada katika jeshi ikiwemo strategists, anthropologists na sociologists na nyinginezo. Changamkia!
 
Yeah,n kweli zimetoka na wanaotakiwa ni FORM SIX LEAVER [PCM,PGM,PCB>bam uwe umefaulu] ,DIPLOMA ,na DIGRII!.,kwenda kuxomea URUBANI WA NDEGE ZA KIVITA!..for mor info:"[updated-boy]
 
Yeah,n kweli zimetoka na wanaotakiwa ni FORM SIX LEAVER [PCM,PGM,PCB>bam uwe umefaulu] ,DIPLOMA ,na DIGRII!.,kwenda kuxomea URUBANI WA NDEGE ZA KIVITA!..for mor info:"[updated-boy]

source mkuu tafadhali
 
hello!
habari ho nizakweli wangine tunazisubr kwa usongo mjue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…