Jerusalem kwa mujibu wa BBC

Hivi mfano kule Iraq, Syria, na Libya ni nani mwanzilishi wa vurugu na vita, siyo nyinyi hujifanya mnaenda kuwafundisha watu eti namna ya kuishi mnavyotaka ninyi walikataa mnawapiga au mnapandikiza vibaraka wenu ili mlete vita MUNGU ANAWAONA.
mnaenda kwenye nchi inautalatibu na sheria zake eti mnawalazimisha waruhusu wa KUOANA JINSIA MOJA mnaakiri MUNGU ANAWAONA.
 
Ni muhimu kutambua kuwa Uyahudi sio ukristo na hawakubaliani kwa kila kitu ktk imani, aidha ukristu ulianzia Antiokia na siyo Uyahudini ingawa wahubiri wengi wa makanisa ya kipentekoste wanapotosha umma kwa kuhusisha ukristo na Israel
Acha kulishwa matangopori na mashehe ubwabwa

Wayahudi wanatumia biblia ya agano la kale ambayo na wakristo wanaitumia

Na sio wayahud wote wanaupinga ukristo,

Na Agano la kale limesema MWISHO WA SIKU WAYAHUDI watamkubali KRISTO

Sasa msitake kuleta chuki zenu dhid ya WAYAHUDI muzipandikize kwa wakristo,


Uislamu ndio unapingana na uyahudi na ukristo

Maana mna mkataa YESU sio mwana wa Mungu na sio Mungu

Wakati biblia ya kiyahudi inasema YESU NI MUNGU
 
MUHAMAD NDIO KAWAFUNDISHA WAISLAMU WAWACHUKIE WAYAHUDI

Maandiko ya Qur-an yanaonesha wazi kuwa kabla ya hapo hata Muhammad mwenyewe alikuwa akifuata kawaida za ibada alizofundishwa na Wayahudi.
-Wayahudi walikuwa na desturi ya kusali kwa kuangalia Yerusalemu, kawaida hii ndiyo iliyotawala maisha ya Muhammad kwa takriban zaidi ya mwaka mmoja na nusu naye alikuwa akiabudu kwa kuangalia Yerusalemu.
(Qur-an 2:144 fafanuzi uk 34)

Tukio la mwaka 610 BK ndilo lililoleta mabadiliko makubwa kwa Muhammad, mwaka huo ndio ambao Muhammad
alipokea mafunuo yake mapya katika mapango ya Jabal hilaa tofauti za kimafundisho, mwenendo, n.k zilianza
kuonekana katika maisha ya
Muhammad mara tu baada ya kuanza kupokea mafunuo hayo. (maisha ya Muhamadi uk 16 shekhe Farsy).


-Hilo lilimfanya Muhammad
kuanza kupingwa na wayahudi hao, Haswa sababu kuu ni pale Muhammad alipoanza kupinga mafundisho waliyompa kama vile., Kutotia mkazo wa Kiibada katika jengo lenye asili ya upagani Al-Kaaba. Qur-an 22:29 [27:9], na Kuanza tabia ya kutangaza imani mpya ya uislam na kuwa na mafundisho yaliyo onekana
kutofautiana na yale ya kibiblia(TANAKH).
Kutokana na mafunuo hayo mapya hoja kuu ya Wayahudi ilikuwa ni juu ya mashaka waliyonayo, kuwa mafunuo haya ya Muhammadihayakuwa ya kweli, Aya ifuatayo ya Qur-an inonyesha hilo.

Qur-an Al-Baarah 2:97 Ufafanuzi uk 24 aya 97 hapa wayahudi wanampinga Malaika Jibril amhaye ndiye aliyeleta mafunuo hayo kwa Muhammad.
Na Ibada ya ijumaa inatokana na ugomvi wa Wayahudi na Muhammad.


-Kutokana na hali hiyo mahusiano baina ya Muhammad na Wayahudi
yaliharibika, Fuatilia katika aya
zifuatazo:

Qur-an 5_:82 Maadui wa Uislam ni Wayahudi
Qur-an 2:I04 [Ufafanuzi] Wayuhudi. ,walihitirafiana na Muhammad na kurushiana maneno.

Tangu hapo Muhammad hakupenda kamwe kuwiana na kile wanachofanya wayahudi katika mifumo ya kidini, na
ndipo anaitangaza rasmi siku ya ljumaa kama siku ya sala katika Ummah wa Kiislam wakati huo akiwa
Yathrib (madina),ili apingane na WAYAHUDI, kumbuka awali alifata mila zao na alisali nao siku ya sabato(JUMAMOSI).

KUANZIA HAPO MUHAMMAD AKAPANDIKIZA CHUKI KWA WAFUASI WAKE DHIDI YA MYAHUDI, Quran imejaa Aya lukuki za kuwachukia wayahudi hasa.

Mungu ibariki ISRAEL ,Mungu wabariki Wayahudi
 
Kidogo wewe tango mwitu unaustaalabu lakini kuna vichwa humu!
 
Mh, waislamu mnamwamini Bwana Yesu. Tangu lini?!
 
Kuna watu humu hawajui hata baba na mama yake walivyokutana leo wanajitia kujua mji wa jerusalem kuliko wazawa
 

Jibu swali. Hoja iliyoko mezani ni Waislam na Jerusalem, ni wapi na wapi? Habari za hayo mengine anzisha threads zake zitajadiliwa.
 
Kilete hapa hicho kitabu alichopewa ibrahimu

Achen porojo
 
Hakuna kitu kama hicho, kihistoria huo mji ni wa kiyahudi na mji muhimu katika dini yao, hivyo tishio lolote la kudhuru misingi ya imani yao lazima lisipewe nafasi, habari za Mudi kutembea kuja Jerusalem ni uongo na ulaghai
 
Mnapenda kumlazimisha mtu suleimani alijenga msikiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ismail baada ya kuzaliwa aliambiwa asepe pamoja na mama yake kwani alikuwa mtoto haramu
 
Ushoga wa mombasa na zenji mliletewa kwa nguvu?
 
Honestly I don't care much who is god to who. That is their business. Ninachokisema ni kwamba nifahamishwe uhusiano wa waislam na Jerusalem!
Hebu soma maelezo ya historia hiyo tena BBC wameweka kwa lugha nyepesi ili mimi na wewe tuelewe.
 
Hiyo kibra ya mwanzo ilijengwa na nani huko Jerusalem, ilikuwa mwaka gani, na huyo mjenzi kwa nini alikwenda kuijenga kule? Kama kibra ilihamishiwa mecca, nini kilisalia Jerusalem ambacho hakiwezi kuhamishwa?
Hutaki kujua lakini unafatilia....

Dini hizi jamaniii, kwanini msiwe tu marasta fariis,

Peace and Love every corner.
 
Umeongea vema sanaaa.
Big up.
 
Uislamu umekuja juzi hahahaa wakati kwenye biblia kuanzia mwanzo mpka ufunuo hakuna hata chembe ya sentensi inayosema ukiristo ni dini.....wapagani wa ansokya ndo waliowapa dini nyinyi
 
Nadhani ili kumaliza mzozo, mji huu uchukuliwe na dunia. Usikaliwe na Wayaudi wala Waparestina. UN itoe watu wa kuhudumia mji huu.
Huo mji ungebaki kama ulivyo ukawa tu "Mji wa Amani" dini zote zikafanya yao bila kuingiliana kiroho safi tu.

Tukianza kumtafuta mmiliki halali mwishoee Mungu akasirikie autie gharika kwisha habari.
 
Hivi na wakristo wakiamua kumuunga mkono trumph na Israel katika hii issue mambo yatakuaje..mi nadhani busara zaidi ingetumika kuliko matumizi ya nguvu kama ilivyo ssa
Wamuunge mkono mara ngapi wakati nyinyi mpo kinyume na kila ambacho kinamuhusu muislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…