Mbona unajishuku?Ingekuwa vizuri mkawa na hakika na mnayoyaandika, we mkweli ulijuaje kama huyu mtume ni muongo, ulikuwapo muda alipowadanganya wafuasi wake, ulikuwapo huo muda alipodanganya kwa hicho anachosema amekifanya. Msilolijua sio vyema kuliongelea, jaribu kufahamu ndipo muamuwe kuwambie wengine.
Ni muhimu kwa wakristo kujifunza asili ya ukristo na kujibidiisha kufahamu kwa undani imani ama dini wanayoifuata na wasiwaache wahubiri na viongozi wao wajuu tu kuwahubiria wanachkitaka katika dini ndio hatimae wanadanganywa na kupelekwa kule wanakokutaka wakubwa na wahubiri wao.
Msingi ea imani za dini duniani ni lazima zisomwe usipo kuwa mdadisi na mchunguzi wa imani unayoikibali huwezi kuwa na imani thabiti na imara kwa dini yako.
Kwa iyo nawashauri wakristo wote wanaoamini kuwa jerusalem ni halali na ni ya wayahudi kwa enzi na enzi warudi na kufanya utafiti japo kwa kujiuliza na kuuliza na kujisomea maandiko hata hayo wanayoyaita matakatifu kwa umakini ili wawe na uhakika na uhalali wa iman zao na sio kuibuka na kukisifu mbele za watu kuwa wao ni wakristo ilhal huyo yesu mwenyewe hakuwa na jeuri hiyo.
Kwa iyo ndugu yangu soma na chunguza iman unayoiamini ndipo itajuwa anachokisema mwengine ni uongo ama ni ukweli na kwa msingi ipi.
Bwana yesu asifiwe.
Wakati mtume Muhhamadi alipowaendea Mayahudi nakuwaambia yeye pia ni Nabii , waliuliza swali , je maandiko gani yanamuonesha kuwa kuwa ni Nabii? aliposhindwa kujibu wakamwambia "Alainaa" na kumtoa nje kwa kumpiga mawe na akang'olewa meno. Kuanzia hapo mtume akaagiza wanaposali wasilekee tena Yerusalem ila mecca lkn mwanzo haikuwa hivyoHii uliyoeleza hapa kuna mambo hujayaeleza kidogo , kuna sababu ya kubadili kibla kutoka Jerusalem kwenda Mecca. Kama yawezekana kuweka sababu, naomba uweke ili tujue. Maana kama ingalikuwa hakuna umuhimu mkubwa pale kwa Waisilam basi wangewaacha wale Waisrael na huo mji, kuepusha ugomvi. There is a greatest secreat there na kama ingalikuwa kama ilivyotakiwa yawezekana hata pangekuwa ndo mahali patakatifu zaid .
Acha kudanganya watu, isaka hajawahi kujenga msikitiHuo msikiti umejengwa na nabii Ishak mtoto wa nabii Ibrahimu ambaye ndiye chimbuko la mitume wote nabii Isa na nabii Muhammad.
Kufanya kejeli katika imani za watu si jambo jema na wala haliwezi kutoa ufumbuzi hapa Tanzania familia nyingi zimechanganyika.
maneno yko ni ya shigongo au kina verse ime quote ili tyamin unachosema?Wakati mtume Muhhamadi alipowaendea Mayahudi nakuwaambia yeye pia ni Nabii , waliuliza swali , je maandiko gani yanamuonesha kuwa kuwa ni Nabii? aliposhindwa kujibu wakamwambia "Alainaa" na kumtoa nje kwa kumpiga mawe na akang'olewa meno. Kuanzia hapo mtume akaagiza wanaposali wasilekee tena Yerusalem ila mecca lkn mwanzo haikuwa hivyo
Kwa mujibu wa kitabu kipi?Au ni maoni yako?Biblia na quran havikuacha kitu ila sijaona hilo ulilosema.Muhammad kazaliwa mwaka 570 baada ya Yesu, na utume kapata kutoka kwa mganga wa kienyeji mapangoni alipopelekwa kutibiwa homa na mkewe, ni Khadija(mganga akiitwa WaragaWaraqa- I stand to be corrected on this name). Na uislam umesimikwa rasmi mwaka 610, tena kwa vita baada ya kuwaua wachungaji na mapadri wengi ili kuutokomeza Ukristo.
Inashangaza sana Waislamu kusema Ibrahim alikuwa Islam.
Israel ilipigana vita na nchi zipi ikashinda zote?Kila kukicha israel na palestine wanapigana na hakuna mshindi wa jumla.Unasema mataifa yanaogopa kuitenga israel?Huna unachokijua.Israel imetengwa na nchi nyingi haswa kipindi hiki tena imetengwa hata na tz kutokana na issue ya Jerusalem.Ebu tafakari juu ya miujiza ambayo Israel inapata inapokwenda vitani huwa inatokana na uwezo wa kibinadamu kweli au uwezo wa MUNGU? Dunia inapaswa kujiuliza kuwa iweje kila vita vikilipuka hata ambavyo dunia nzima ya Waarabu wakiungana pamoja lazima Israel ishinde? Iweje Israel inapomaliza vita huwa haitetereki kiuchumi? Iweje mataifa makubwa duniani yanaogopa kuitenga Israel? Iweje Israel imudu kupiga hatua ya kimaendeleo na usalama hata pale ambapo inawekewa vikwazo vya kiuchumi na jumuiya za kimataifa na kubaki kama kisiwa? Iweje Marekani dola kubwa duniani ni mwepesi kuliwekea taifa lolote duniani vikwazo ikiwemo Urusi hata bila kupitia UN wakati fulani, lakini Marekani hiyo hiyo haithubutu kuiwekea Israel vikwazo ila itaiachia UN ifanye hivyo?
Siku zote nyinyi huwa wakrupukaji ss sjui kwakuwa mnaimba sana kaswida mnajua nn nyie kuhusu hata huo uslam kazi kupelekwa tu kama manyumbu , hilo likitabu lenu la uongoungo ambalo linahamasisha mambo ya ajabu hichohicho kitabu chako kinamzungumzia issa bin mariam vitu usivyovijua ww.,HAYA TUFAHAMISHE SASA HUO MSIKITI ULIJENGWA JUZI NA KINA NANI??
Wewe unasema uislamu umekuja juzi tu
Haya naomba ANDIKO KATIKA KITABU CHAKO UNACHOKIAMINI LINAYOSEMA KUA KRISTO NI DINI
NIPE ANDIKO
Nikizama saana kidini saana saana huu uzi utafungiwa tu,
Huo msikiti wa Al-Aqsaa unaufahamu vizuri historia yake???hebu nenda kwanza ukaoge half ukaanze kuchota maji kisimani
Utaniharibia siku bure tu kuanza kulumbana na matoto
Mtume hajawahi pigwa mawe na wayahudiWakati mtume Muhhamadi alipowaendea Mayahudi nakuwaambia yeye pia ni Nabii , waliuliza swali , je maandiko gani yanamuonesha kuwa kuwa ni Nabii? aliposhindwa kujibu wakamwambia "Alainaa" na kumtoa nje kwa kumpiga mawe na akang'olewa meno. Kuanzia hapo mtume akaagiza wanaposali wasilekee tena Yerusalem ila mecca lkn mwanzo haikuwa hivyo
Kwa hiyo Msikiti wa Al Aqsa ndio Hekalu la Mfalme Selemani? Vipi kuta zilizosalia maeneo hayo yaani wailing wall, ni ukuta wa msikiti au hekalu?
Vv
Mkuu yaani unaniuliza tena swali badala ya kunijibu!Mkuu unaongea na simu ama[emoji1321]