Jerry Slaa ni utoto, Gwajima alidanganywa, Polepole amedhamiria

Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake,
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu,
hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida.

Gwajima-huyu alidanganywa na wale waliotaka kumkwamisha Rais Samia kwa kupambana na sera mpya za mageuzi alizoleta Rais Samia,
Alidanganywa na wale waliotaka kudhoofisha urais wa Samia,
naamini baada ya muda kupita amegundua kuwa amekosea na naimani leo ameomba radhi,
Gwajima ana akili hivyo lazima ameomba radhi sababu anahitaji kuendelea kushamiri katika siasa ili mambo yake yaende vizuri.

Polepole amedhamiria kuchafua serikali ya Rais Samia,
ameamua kuwa mwanaharakati ya upinzania ndani ya CCM,
Kwa nafasi aliyokuwa nayo, Polepole angeweza kukutana na hao anaosema wanafanya vibaya na kuwashauri namna bora ya kufanya,
Amegeuka kulaumu serikali na Rais, huku akijifanya kuwa muumini wa CCM kumbe ni Mbwa mwitu,
Amejawa kashfa na kiburi kwa viongozi wa Chama na wateule wa awamu ya sita,
Anaona kama yeye ndiye alitakiwa kuteua baraza la mawaziri lakini sio Rais Samia
Ninaamini polepole hata omba radhi siku ya leo sababu ameweka hoja kuwa hakuna kitu alicho kosea,
amekiri yuko tayari kufukuzwa na hana cha kupoteza.
amekiri ubunge si kitu anaweza kurudi mtaani akaendelea kuishi kama kawaida,
hivyo Rais kumteua kuwa mbunge sio kipaumbele chake na wala sio muhimu.

Tutege sikio Dodoma
Ccm wote wahuni
 
Kundi la itikadi ya mwendazake lina nguvu sana, Samia awe makini kama anataka kulishughulikia ..wapo wengi mno, wabunge tu ni takribani 180 wameapa kufa na sera za marehemu mzee wao.
Samia si atamwaga mboga, hao Wabunge hewa wakapambane na chadema chini ya tume huru
 
Pole Pole ni kijana jeuri asiye na busara, wakati bado ana safari ndefu ya kisiasa, pride na ujuaji utamu cost big time, hamna anayempiganga bosi hadharani akabaki salama, so ajirekebishe na ajue dunia ni uwanja usio fair.
Atumie kanuni never outshine ur master ooh or else atakuwa in big trouble
Baada ya kuona soon atapoteza kila kitu so anaona asitoke kiboya bora anye kwanza, anajua hata afanye nini lazima apoteze kila kitu na anaweza funguliwa mashitaka, so anataka kujificha kwenye kivuli cha darasa la siasa kuwa ndiyo tatizo.
 
Kundi la itikadi ya mwendazake lina nguvu sana, Samia awe makini kama anataka kulishughulikia ..wapo wengi mno, wabunge tu ni takribani 180 wameapa kufa na sera za marehemu mzee wao.

Hata hao wajumbe wa kamati kuu wengi wao ni wateule wa Jiwe ,kumtosa Polepole utakuwa ni usaliti na unafiki wa kiwango cha juu sana!
 
Watapambana sana ila hawadondoki na wala hawatoki leo wala kesho…Najua hii kuisikia inawakera wengine.
Watajikuta wametoka tu kwa ule mtindo wa kununua wakinzani.Unadumbukiza jiwe kubwa kwenye glasi yenye maji huku unategemea maji yaendelee kuwepo humo? It's a mere laughter!Wanatakiwa waumizane tu na ujinga wao.😂😂😂😂😂
 
Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake,
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu,
hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida.

Gwajima-huyu alidanganywa na wale waliotaka kumkwamisha Rais Samia kwa kupambana na sera mpya za mageuzi alizoleta Rais Samia,
Alidanganywa na wale waliotaka kudhoofisha urais wa Samia,
naamini baada ya muda kupita amegundua kuwa amekosea na naimani leo ameomba radhi,
Gwajima ana akili hivyo lazima ameomba radhi sababu anahitaji kuendelea kushamiri katika siasa ili mambo yake yaende vizuri.

Polepole amedhamiria kuchafua serikali ya Rais Samia,
ameamua kuwa mwanaharakati ya upinzania ndani ya CCM,
Kwa nafasi aliyokuwa nayo, Polepole angeweza kukutana na hao anaosema wanafanya vibaya na kuwashauri namna bora ya kufanya,
Amegeuka kulaumu serikali na Rais, huku akijifanya kuwa muumini wa CCM kumbe ni Mbwa mwitu,
Amejawa kashfa na kiburi kwa viongozi wa Chama na wateule wa awamu ya sita,
Anaona kama yeye ndiye alitakiwa kuteua baraza la mawaziri lakini sio Rais Samia
Ninaamini polepole hata omba radhi siku ya leo sababu ameweka hoja kuwa hakuna kitu alicho kosea,
amekiri yuko tayari kufukuzwa na hana cha kupoteza.
amekiri ubunge si kitu anaweza kurudi mtaani akaendelea kuishi kama kawaida,
hivyo Rais kumteua kuwa mbunge sio kipaumbele chake na wala sio muhimu.

Tutege sikio Dodoma
Waamaleki, tunawalaani wote kwa Jina la Baba
 
Pole Pole ni kijana jeuri asiye na busara, wakati bado ana safari ndefu ya kisiasa, pride na ujuaji utamu cost big time, hamna anayempiganga bosi hadharani akabaki salama, so ajirekebishe na ajue dunia ni uwanja usio fair.
Atumie kanuni never outshine ur master ooh or else atakuwa in big trouble
... Kuna katufani kadogo kanakoweza kumpa wimbi kidogo aka'surf', ... amekaa muda wote anavizia 'CHAOS' na/au kujaribu kuunda mazingira hayo! AND, IT APPEARS, WHAT THE WORLD SEES IS JUST THE TIP OF THE ICE BERG! ... TORPEDO NEEDED!
 
Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake,
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu,
hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida.

Utamuitaje Jerry Slaa mtoto wakati amewahi kuwa Mayor wa ILALA na mpaka akapanda na kufikia kuwa mjumbe wa halamashauri kuu ya cccm na pia mjumbe wa kamati kuu !!! Sasa wale wale aliyekuwa nao kama mjumbe ndio wanaomsulubu!!!
 
Pole Pole ni kijana jeuri asiye na busara, wakati bado ana safari ndefu ya kisiasa, pride na ujuaji utamu cost big time, hamna anayempiganga bosi hadharani akabaki salama, so ajirekebishe na ajue dunia ni uwanja usio fair.
Atumie kanuni never outshine ur master ooh or else atakuwa in big trouble
Pole Pole ni kijana jeuri
 
Back
Top Bottom