Jerry Slaa: Deni la Serikali linavumilika

Jerry Slaa: Deni la Serikali linavumilika

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Waziri anatumia hadi mfano wa deni la songesha ili kuelezea deni la serikali, hahah patam hapo.

"Acha nianzie na songesha mana mimi huwa nasongesha, nini maana ya kukopa? Kukopa ni pale ambapo una matumizi ambayo ni makubwa ama ni ya ghafla kutokana na kipato chako, kwahiyo unaamua kusongesha elfu kumi kwa sababu kampuni yangu ya simu imenifanyia tathmini ya matumizi yangu imeniona mpaka elfu 10, elfu 20 ni himilivu kwangu nikisongeha naweza kulipa ndiyo maana ya himilivu" - Jerry Slaa Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Soma DSM - Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
 
Back
Top Bottom