VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Hahaa, ilishasemwa humu JF kuwa wakati ule anatukana ni kuwa anawinda cheo.
Hata wasira ni hivyohivyo.
Ila na shangaa Le Mutuz ajatoka mpaka leo.
Akiongea kwa kujiamini na kwa bashasha kubwa,Mjumbe mpya wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa amesema kuchaguliwa kwake CC kumechangiwa na kiasi kikubwa na CHADEMA. 'Ndugu wajumbe,siasa za ndani ya chama chetu zimebadilika. Hivi sasa ukitaka kushinda lazima upambane na CHADEMA na uonekane.Mimi nilifanya hivyo. Niliisambaratisha CHADEMA kihoja na hata kikejeli' alisema huku akishangiliwa.
'Nanyinyi igeni mfano wangu;pambaneni nao ili muaminiwe na chama. Ikibidi hata kuwatukana viongozi wao wakuu,fanyeni hivyo.Chama kitawatunuku' alimaliza bila ya kubainisha ni wapi na lini aliwadhibiti CHADEMA kama alivyodai.
Chanzo: Kikao cha kumpongeza kilichoandaliwa na Makada wa Ilala na kufanyika jana Ofisi Ndogo za chama Lumumba.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
Haka kajamaa kamelewa sifa!
Mkuu VUTA-NKUVUTE sina uhakika sana na taarifa zako unazotoa kwa jinsi vile unavyozitoa.Kwanza wewe kipindi fulani ulituambia wewe na wenzako mnaelekea uswiss kuchungunza watanzania walioficha hela huko, tukakuambia utupe feed back lakini hukuripoti tena kitu.mara kadhaa umekuwa ukileta taarifa na ukidai kwamba wewe mwenyewe ulikuwa kwenye vikao husika ila nikijaribu kupima huwa ninakuwa sipati picha halisi .Sasa pengine inawezekana wewe ni mtu wa usalama lakini pia mtu wa usalama anayeripoti kila taarifa moja kwa moja kwenye media za wazi tena wakati mwengine anaenda kwenye operesheni;lakini anaripoti kabla ya kwenda! mimi naona kama ni mwanausalama mwenye uwezo wa chini kabisa na kwangu mimi si rahisi kumuamini.Akiongea kwa kujiamini na kwa bashasha kubwa,Mjumbe mpya wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa amesema kuchaguliwa kwake CC kumechangiwa na kiasi kikubwa na CHADEMA. 'Ndugu wajumbe,siasa za ndani ya chama chetu zimebadilika. Hivi sasa ukitaka kushinda lazima upambane na CHADEMA na uonekane.Mimi nilifanya hivyo. Niliisambaratisha CHADEMA kihoja na hata kikejeli' alisema huku akishangiliwa.
'Nanyinyi igeni mfano wangu;pambaneni nao ili muaminiwe na chama. Ikibidi hata kuwatukana viongozi wao wakuu,fanyeni hivyo.Chama kitawatunuku' alimaliza bila ya kubainisha ni wapi na lini aliwadhibiti CHADEMA kama alivyodai.
Chanzo: Kikao cha kumpongeza kilichoandaliwa na Makada wa Ilala na kufanyika jana Ofisi Ndogo za chama Lumumba.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
Akiongea kwa kujiamini na kwa bashasha kubwa,Mjumbe mpya wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa amesema kuchaguliwa kwake CC kumechangiwa na kiasi kikubwa na CHADEMA. 'Ndugu wajumbe,siasa za ndani ya chama chetu zimebadilika. Hivi sasa ukitaka kushinda lazima upambane na CHADEMA na uonekane.Mimi nilifanya hivyo. Niliisambaratisha CHADEMA kihoja na hata kikejeli' alisema huku akishangiliwa.
'Nanyinyi igeni mfano wangu;pambaneni nao ili muaminiwe na chama. Ikibidi hata kuwatukana viongozi wao wakuu,fanyeni hivyo.Chama kitawatunuku' alimaliza bila ya kubainisha ni wapi na lini aliwadhibiti CHADEMA kama alivyodai.
Chanzo: Kikao cha kumpongeza kilichoandaliwa na Makada wa Ilala na kufanyika jana Ofisi Ndogo za chama Lumumba.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
Kama kiongozi gani wa chadema alitukana wa CCM, tumeona Nape akiwaambia watu kule mwanza atawashikisha ukuta, sijui na wewe sumu alikushikisha. Akina Lusinde, Mchemba, matusi yao hayaandikiki hapa, acha yule mzee wa gombe.Wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaowatukana viongozi wa CCM wanapata nini in return?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
"Niliisambaratisha CHADEMA kihoja na hata kikejeli' alisema huku akishangiliwa"
"Nanyinyi igeni mfano wangu;pambaneni nao ili muaminiwe na chama. Ikibidi hata kuwatukana viongozi wao wakuu, fanyeni hivyo. Chama kitawatunuku"
Aisee!Akiongea kwa kujiamini na kwa bashasha kubwa,Mjumbe mpya wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa amesema kuchaguliwa kwake CC kumechangiwa na kiasi kikubwa na CHADEMA. 'Ndugu wajumbe,siasa za ndani ya chama chetu zimebadilika. Hivi sasa ukitaka kushinda lazima upambane na CHADEMA na uonekane.Mimi nilifanya hivyo. Niliisambaratisha CHADEMA kihoja na hata kikejeli' alisema huku akishangiliwa.
'Nanyinyi igeni mfano wangu;pambaneni nao ili muaminiwe na chama. Ikibidi hata kuwatukana viongozi wao wakuu,fanyeni hivyo.Chama kitawatunuku' alimaliza bila ya kubainisha ni wapi na lini aliwadhibiti CHADEMA kama alivyodai.
Chanzo: Kikao cha kumpongeza kilichoandaliwa na Makada wa Ilala na kufanyika jana Ofisi Ndogo za chama Lumumba.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
Mkuu VUTA-NKUVUTE afadhali umerudi utupe wanayo fanya wakina chama na RitzAkiongea kwa kujiamini na kwa bashasha kubwa,Mjumbe mpya wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa amesema kuchaguliwa kwake CC kumechangiwa na kiasi kikubwa na CHADEMA. 'Ndugu wajumbe,siasa za ndani ya chama chetu zimebadilika. Hivi sasa ukitaka kushinda lazima upambane na CHADEMA na uonekane.Mimi nilifanya hivyo. Niliisambaratisha CHADEMA kihoja na hata kikejeli' alisema huku akishangiliwa.
'Nanyinyi igeni mfano wangu;pambaneni nao ili muaminiwe na chama. Ikibidi hata kuwatukana viongozi wao wakuu,fanyeni hivyo.Chama kitawatunuku' alimaliza bila ya kubainisha ni wapi na lini aliwadhibiti CHADEMA kama alivyodai.
Chanzo: Kikao cha kumpongeza kilichoandaliwa na Makada wa Ilala na kufanyika jana Ofisi Ndogo za chama Lumumba.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
Mkuu betlehem,yawezekana ulipitwa na mreshesho wa VUTA-NKUVUTE. Aliporudi tu toka Uswisi aliweka mabandiko tena akiwataja waficha hela na kudai kuwa Daudi Balali yu hai. Hukusoma? VUTA-NKUVUTE ni kati ya waaminiwa sana hapa JF...anajitahidi sana kwa kuripoti ukweliMkuu VUTA-NKUVUTE sina uhakika sana na taarifa zako unazotoa kwa jinsi vile unavyozitoa.Kwanza wewe kipindi fulani ulituambia wewe na wenzako mnaelekea uswiss kuchungunza watanzania walioficha hela huko, tukakuambia utupe feed back lakini hukuripoti tena kitu.mara kadhaa umekuwa ukileta taarifa na ukidai kwamba wewe mwenyewe ulikuwa kwenye vikao husika ila nikijaribu kupima huwa ninakuwa sipati picha halisi .Sasa pengine inawezekana wewe ni mtu wa usalama lakini pia mtu wa usalama anayeripoti kila taarifa moja kwa moja kwenye media za wazi tena wakati mwengine anaenda kwenye operesheni;lakini anaripoti kabla ya kwenda! mimi naona kama ni mwanausalama mwenye uwezo wa chini kabisa na kwangu mimi si rahisi kumuamini.